Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Italia pia ina mpango wa kuwaondoa raia wake kutoka Wuhan wiki hii. Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo amethibitisha.

====

UPDATE: Italy to bring home citizens from Wuhan.

Italy will begin repatriating its citizens from Wuhan this week, Foreign Minister Luigi Di Maio announced Wednesday.

"The Italian government is committed to giving maximum support to our compatriots in China. Tomorrow a flight will leave for the repatriation of the Italians who are in Wuhan," Di Maio tweeted.

“The aircraft, scheduled to depart from Italy tomorrow once the necessary authorizations have been acquired by the Chinese, will reach Wuhan airport with specialized medical personnel, nurses and adequate medical equipment on board to ensure safe transport. Upon arrival in Italy, compatriots will follow a health protocol defined by the Ministry of Health," Italy's foreign ministry said in a statement.

[CNN]
 
Ujerumani: Shirika la ndege la Lufthansa pia limetangaza kusitisha safari zake kati ya Ujerumani na China hadi Februari 9.

Mpaka sasa mashirika mengine ya ndege kama vile British Airways (Uingereza), American Airlines (Marekani), United Airlines (Marekani), Air Asia (Malaysia), Cathay Pacific (Hong Kong), Air India (India) pamoja na Finnair (Finland) yametangaza kusitisha baadhi ya safari zake ama zote zinazoijumuisha China.

====

UPDATE: Germany's Lufthansa cancels all flights to China over coronavirus fears.

Germany's Lufthansa airline has canceled all flights to and from China until Feb. 9 due to concerns about the coronavirus, a Lufthansa spokeswoman in Frankfurt told CNN.

The spokeswoman added that these measures also apply to Lufthansa’s Swiss and Austrian airline subsidiaries.

All Lufthansa bookings to China have been suspended until the end of February, the airline added.

Lufthansa is one of many airlines who have made changes to their flight schedule in the wake of the coronavirus.

British Airways, United Airlines, Air Asia, Cathay Pacific, Air India and Finnair have announced plans to slash the number of flights they are operating to China or stop flying to the country entirely, and other airlines are offering customers refunds on flights to China.

[CNN]
 
Mtu tajiri zaidi nchini China, Jack Ma amechangia kiasi cha fedha zipatazo Yuan milioni 100 sawa na Dola za Kimarekani milioni 14.4 kwa ajili ya kusaidia upatikanaji wa chajo ya virusi hatari vya Corona.

====

UPDATE: China's richest man Jack Ma donates £11million to help scientists develop coronavirus vaccine.

China's richest man has donated 100million yuan (£11million, $14.4million) to help scientists develop the vaccine for a new strain of deadly coronavirus, which has rocked the Asian superpower and killed at least 133 people.

Jack Ma, the founder of e-commerce conglomerate Alibaba, announced the generous aid on Wednesday through his foundation as the outbreak in the Chinese city of Wuhan accelerated.

Forty per cent of the endowment fund, or 40 million yuan (£4.4 million, $5.8 million), is due to be evenly split between the Chinese Academy of Sciences and Chinese Academy of Engineering, whose experts are striving to create the inoculation.

The rest of the grant will support staff from research and scientific establishments in China and around the world in the control and prevention efforts of the coronavirus.

[Daily Mail]
 
Afrika: Watu wengine takribani sita (6) wanashukiwa kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona.

Watu wawili (2) wamewekwa katika uangalizi maalumu nchini Sudan baada ya kuonesha dalili za maambukizi ya virusi hivyo huku wasafiri wanne (4) waliowasili nchini Guinea ya Ikweta wakitokea Beijing China wamewekwa katika uangalizi baada ya kuhofiwa kuwa huenda wameambukizwa.

====

UPDATE: Sudan and Equatorial Guinea quarantine six patients with symptoms of the killer SARS-like infection.

The killer coronavirus sweeping the world may have reached Africa as Sudan and Equatorial Guinea have reported suspected cases.

Two citizens of Sudan are being monitored after displaying symptoms of the virus following a visit to Wuhan, local reports say.

And officials in Equatorial Guinea have quarantined four travellers who arrived from Beijing amid fears they may have the killer SARS-like infection.

World Health Organization chiefs today said they are 'concerned' about any cases in Africa because the continent does not 'have the capacity' to handle the virus.

Leading scientists also fear the virus could be difficult to contain in Africa, warning that medical facilities are 'extremely limited'.

[Daily Mail]
 
Ufaransa imethibitisha kisa cha tano (5) cha virusi vya Corona kulingana na taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya wa nchi hiyo Bi. Agnes Buzyn.

====

UPDATE: Fifth case of coronavirus confirmed in France.

A fifth case of coronavirus has been confirmed in France, according to France’s Health Minister Agnes Buzyn.

The fifth case is the daughter of the 80-year-old Chinese tourist who one of the first four patients, Buzyn said on French television BFMTV.

She is in intensive care.

A first flight to repatriate French citizens from China is leaving Wednesday night with a team of 20 medical staff on-board, according to Buzyn.

[CNN]
 
Finland: Taasisi ya Taifa ya masuala ya Afya na Ustawi imethibitisha kisa cha kwanza cha virusi vya Corona.

Kisa hicho ni mwanamke mwenye umri wa miaka 32 kutoka Wuhan alifika nchini Finland siku ya Alhamisi, akisafiri siku hiyo hiyo kwenda Ivalo, kijiji kimoja kaskazini mwa Lapland.

Alipata dalili mbaya za kupumua na homa mnamo Jumapili, na kisha kwenda kwenye chumba cha dharura mnamo siku ya jana, MTV3 iliripoti.

====

UPDATE: First case of coronavirus confirmed in Finland.

Finland's National Health and Welfare Institute confirmed the first case of coronavirus in the country, according to CNN's affiliate MTV3 Finland.

The 32-year-old woman from Wuhan arrived in Finland on Thursday, traveling on the same day to Ivalo, a village in the northern Lapland region.

She developed respiratory symptoms and fever on Sunday, and went to the emergency room yesterday, MTV3 Finland reports.

[CNN]
 
China: Wanafunzi wa Kiafrika waeleza hofu ya maambukizo ya kirusi corona.

Wanafunzi kutoka Kenya na Tanzania wameeleza kuwa mlipuko wa kirusi corona nchini China unaendelea kuleta hali ya wasiwasi kutokana na kukosekana kwa tiba kamili ya uhakika.

Mtanzania
Mwanafunzi Jaffari Rajabu anayesomea udaktari katika Chuo Kikuu cha Tongji Medical University, Hust, Wuhan, China, ameleeza hali hiyo ya wasiwasi katika mahojiano na Sauti ya Amerika (VOA) Jumanne.

Amesema wako wanafunzi 420 kutoka Tanzania ambao wanasoma katika vyuo mbalimbali katika mji wa Wuhan.

Mkenya
Hali hiyo ya wasiwasi pia imeelezwa na mwanafunzi wa uzamivu Anthony Waigwa wa Chuo Kikuu cha Chinese Academy, huko Wuhan.

Anasema wanafunzi wenzake 30 kutoka Kenya na nchi nyingine za Afrika Mashariki wana wasiwasi mkubwa wa kupata maambukizo.

Hakuna maambukizo kwa wanafunzi wa Afrika

"Mpaka sasa wanafunzi kutoka Tanzania, Kenya, Ethiopia, Nigeria na Misri wote katika mji huo wa Wuhan na miji mingine hawajapata maambukizo yoyote," amesema Rajabu.

Naye Waigwa amesema wanafunzi wengine wa kigeni kutoka nchi za Afrika na nyingine katika chuo chao mpaka sasa hawajapata maambukizo ya ugonjwa huo.

Wanafunzi hao waliohojiwa na VOA wamesema kuna mawasiliano ya karibu kati ya uongozi wa wanafunzi na ubalozi wa nchi zao.

“Madaktari wanajitahidi kutibu dalili za ugonjwa huo ambazo zinajitokeza kwa wagonjwa hao,” amesema Rajabu.

“Wagonjwa wanaokwenda hospitali wakiwa na dalili za awali wanapatiwa tiba na wanapona, lakini wagonjwa ambao tayari wanaugua wakiwa katika hali mbaya kwa kweli ni kazi kuwahakikishia afya zao,” ameongeza.

[VOA]
 
Kampuni ya Kimarekani, Google imetangaza kuzifunga kwa muda ofisi zake zilizopo nchini China kutokana na uwepo wa hatari ya virusi vya Corona nchini humo.

Google imethibitisha hilo kupitia CNN.
 
BREAKING: Idadi ya vifo kutokana na virusi vya Corona yafikia 169.

Hili ni ongezeko la vifo 37 toka ripoti ya mwisho ya vifo 132 ilipotoka huku vikiripotiwa visa vipya zaidi ya 1000.

Vifo 162 kati ya hivyo ni kutokea mkoa wa Hubei pekee.
 
UPDATE: The health commission for Hubei says the number of people killed by the new coronavirus in the Chinese province has risen by 37 to 162 adding 4,586 people have been infected. [Sky News]

====

Coronavirus update:
  • 7,186 confirmed cases worldwide
  • 169 fatalities
  • 1,220 in serious/critical condition
  • Around 100 treated and released
  • Majority of cases in China
  • 17 countries reporting cases
 
China: Wanafunzi wa Kiafrika waeleza hofu ya maambukizo ya kirusi corona.

Wanafunzi kutoka Kenya na Tanzania wameeleza kuwa mlipuko wa kirusi corona nchini China unaendelea kuleta hali ya wasiwasi kutokana na kukosekana kwa tiba kamili ya uhakika.

Mtanzania
Mwanafunzi Jaffari Rajabu anayesomea udaktari katika Chuo Kikuu cha Tongji Medical University, Hust, Wuhan, China, ameleeza hali hiyo ya wasiwasi katika mahojiano na Sauti ya Amerika (VOA) Jumanne.

Amesema wako wanafunzi 420 kutoka Tanzania ambao wanasoma katika vyuo mbalimbali katika mji wa Wuhan.

Mkenya
Hali hiyo ya wasiwasi pia imeelezwa na mwanafunzi wa uzamivu Anthony Waigwa wa Chuo Kikuu cha Chinese Academy, huko Wuhan.

Anasema wanafunzi wenzake 30 kutoka Kenya na nchi nyingine za Afrika Mashariki wana wasiwasi mkubwa wa kupata maambukizo.

Hakuna maambukizo kwa wanafunzi wa Afrika

"Mpaka sasa wanafunzi kutoka Tanzania, Kenya, Ethiopia, Nigeria na Misri wote katika mji huo wa Wuhan na miji mingine hawajapata maambukizo yoyote," amesema Rajabu.

Naye Waigwa amesema wanafunzi wengine wa kigeni kutoka nchi za Afrika na nyingine katika chuo chao mpaka sasa hawajapata maambukizo ya ugonjwa huo.

Wanafunzi hao waliohojiwa na VOA wamesema kuna mawasiliano ya karibu kati ya uongozi wa wanafunzi na ubalozi wa nchi zao.

“Madaktari wanajitahidi kutibu dalili za ugonjwa huo ambazo zinajitokeza kwa wagonjwa hao,” amesema Rajabu.

“Wagonjwa wanaokwenda hospitali wakiwa na dalili za awali wanapatiwa tiba na wanapona, lakini wagonjwa ambao tayari wanaugua wakiwa katika hali mbaya kwa kweli ni kazi kuwahakikishia afya zao,” ameongeza.

[VOA]
Watulie huko huko aisee, let them ride out the wave.

Wasituletee mavirusi tusiyoweza kuhimili katika hichi kinchi chetu underdeveloped.
 
Wachina wameanza toa namba ndefu inaonesha hawataki world panic ndo maana wanatoa 20 leo 37 kesho 50

Dunia yaelekea itenga china siku 3 zijazo hapatakuwa na usafiri wa kwenda China

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachojiri:

Jumla ya visa 7,811 ulimwenguni vimebainika mpaka sasa.

Zaidi ya watu 12,000 wanashukiwa kuwa na maambukizi.

Vifo takribani 170 mpaka sasa.

Zaidi ya wagonjwa 1,300 wako katika hali mbaya zaidi.

Wagonjwa 124 wamepatiwa matibabu.

Mikoa yote ndani ya China imeripoti visa vya Coronavirus.

Nchi takribani 17 duniani zimeripoti visa vya Coronavirus katika nchi zao.
 
Raia wa Kijapani walioondolewa kutoka Wuhan nchini China na kurejeshwa kwao Japan, watatu kati yao wamebainika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona.
 
hiyo stori ya huyo mama wa Finland inaonyesha inachukua muda toka kuambukizwa hadi kuonyesha dalili. Hii ni hatari maana wengi wanaweza ambukizwa bila dalili kuonekana. Nchi yetu imejipanga vipi? Kuna hospitali tumeandaa hii ishu ikitokea?
 
Back
Top Bottom