Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

UPDATE: CORONAVIRUS
  • 362 people dead
  • Over 2,000 in serious condition
  • Over 17,000 people infected, with around 400 people who have recovered.
  • Over $400 billion wiped off Chinese stock markets today
  • Infections in 24 countries
  • China says it urgently needs medical equipment
Super power wanauhitaji wa medical equipments ? 😂😂😂😂.China nimewaondoa rasmi kwenye group la super powers.
 
Muda mchache kuanzia sasa tutapokea ripoti nyingine kuhusiana na virusi vya Corona kutoka mkoa wa Hubei.
 
Ujerumani: Hapo awali ilithibitisha visa viwili zaidi huku idadi ya visa vyote ikifikia 12 hadi sasa nchini humo akiwemo baba mmoja na watoto wake wawili.
 
BREAKING: Ripoti mpya yaonesha ongezeko la visa mpaka kufikia 19,852 duniani kote huku idadi ya vifo ikifikia 426 mpaka sasa.

Jumla ya visa 19,668 pamoja na vifo takribani 425 ni ndani ya China bara pekee.

1580770304576.png
 
UPDATE: CORONAVIRUS
  • 19,843 confirmed cases worldwide
  • 21,558 suspected cases
  • 426 fatalities
  • 2,654 in serious/critical condition
  • 576 recovered in China
  • Vast majority of cases in China
  • 24 countries reporting cases
 
Ripoti hii mpya ni ongezeko la visa vipya 2,345 pamoja na vifo 64 katika mkoa wa Hubei nchini China ikiwa ni idadi kubwa zaidi ya vifo kuwahi kuripotiwa ndani ya siku moja.

Nje ya China bara kuna taarifa ya kifo kimoja (1) tu kutokea nchini Ufilipino.
 
Vipimo vya kuwatambua watu waliokwisha kuambukizwa huenda vikashindwa kuwa na ufanisi ama usahihi wa kutosha katika kuwapima baadhi ya watu?

Hii ni kutokana na mtu mmoja nchini China kupimwa mara nne (4) ndipo kubainika kuwa na maambukizi.

====

Four tests later, Chinese man finally confirmed with coronavirus. Tianjin railway worker identified as infected after multiple visits to hospital and twice coming down sick, health authorities say. [SCMP]
 
Kwani ukiachana na hizi nchi za DUNIANI kuna mahala pengne kuna nchi ?!
Mpaka sasa nchi 20 duniani zimethibitisha visa vya 'Coronavirus' katika nchi zao.

====

As of now 20 countries have confirmed Coronavirus cases:
  1. China
  2. Thailand
  3. Japan
  4. Singapore
  5. Hong Kong
  6. Malaysia
  7. Macau
  8. Australia
  9. United States
  10. Vietnam
  11. France
  12. Germany
  13. UAE
  14. Canada
  15. Finland
  16. Sri Lanka
  17. Nepal
  18. India
  19. Philippines
  20. Cambodia
[RT]
Jokes[emoji4][emoji3][emoji16][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BREAKING: Jumla ya visa vote kutokana na virusi vya Corona yafikia 23,858 mpaka sasa huku idadi ya vifo ikifikia 492 kutoka 426 ikiwa ni ongezeko la vifo 66.

China bara pekee ni jumla ya visa 23,648 na idadi ya vifo ni 490.

Jumla ya wagonjwa 757 wamepata nafuu.

1580859251428.png
 
UPDATE: CORONAVIRUS
  • 23,865 confirmed cases worldwide
  • 23,214 suspected cases
  • 492 fatalities
  • 3,064 in serious/critical condition
  • Nearly 800 recovered
  • Vast majority of cases in China
  • 25 countries reporting cases

More updates to come!
 
Meli yenye wasafiri wapatao 3,711 ndani yake (Diamond Princess) imewekwa karantini nchini Japan na kuwekwa zuio la kuto kutoka kwa watu wote waliomo ndani ya meli hiyo baada ya kuhofiwa kuhusu uwepo wa watu kadhaa ndani yake wenye maambukizi ya virusi vya Corona.

Taarifa zilizopo hivi sasa ni kuwa idadi ya watu wapatao 10 waliokuwa katika meli hiyo iliyopo karantini katika bandari ya Yokohama nchini Japan, wamebainika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona.

====

UPDATE: Japan confirms that at least 10 passengers aboard this cruise ship have been infected with the Coronavirus.

3,711 people were quarantined on board the Diamond Princess Monday after a passenger who disembarked in Hong Kong Jan. 25 tested positive for the virus. [DW]

1580863047117.png
 
UPDATE: CORONAVIRUS
  • 24,552 confirmed cases worldwide
  • 23,260 suspected cases
  • 492 fatalities
  • 3,219 in serious/critical condition
  • About 900 recovered
  • Most cases in China
  • 25 countries reporting cases

More updates to come!
 
UPDATE: Nchi mbalimbali duniani zimekwisha anza kutoa misaada mbalimbali kwa China hususani ya kitabibu pamoja na kifedha ili kusaidi kukabiliana na virusi hatari vya Corona huku pia watu binafsi nao kutokea mataifa mbalimbali wakifanya hivyo.
 
Back
Top Bottom