Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Malaysia ni miongoni mwa nchi zilizokwisha tangaza kutoa misaada mbalimbali kwa China.

Malaysia ilisema kuwa itatoa msaada wa glovu za kitabibu zenye thamani ya milioni 18 (pesa ya Malaysia) kwa China.

====

Coronavirus: Malaysia to donate 18 million medical gloves to China

Malaysia will donate 18 million pieces of medical gloves to China to assist in the fight against the novel coronavirus. [The Star]
 
Bill pamoja na Melinda Gates wametangaza kutoa msaada wa kifedha wa Dola za Kimarekani milioni 100 ($100M) kwa ajili ya kusaidia gharama za kukabiliana na Coronavirus. Hiyo ni nyongeza ya Dola milioni 90 tokea wawili hao walipotangaza kutoa Dola milioni 10 mwezi uliopita.

Fedha hizo zitatumika mahususi kwa ajili ya vipimo na matibabu na pia kuwezesha upatikanaji wa chanjo ya virusi hivyo kwa haraka zaidi.

====

UPDATE: Bill and Melinda Gates donate $100M to help deal with the costs of coronavirus. That's a $90M increase to the $10M the couple committed last month. Their foundation says the money will go towards detection and treatment, and to accelerate development of a vaccine. [CBC News]

1580931994060.png
 
Marekani: Jimbo la Wisconsin limeripoti kisa cha kwanza kabisa cha virusi vya Corona kikiwa ni kisa cha kumi na mbili (12) mpaka sasa nchini humo.

====

UPDATE: Wisconsin reports 1st case of coronavirus, 12th in the U.S.
 
Singapore: Visa vipya vinne (4) vimetajwa nchini humo hivyo kufikisha idadi ya visa vyote nchini humo ikifikia 28.

====

UPDATE: The Ministry of Health (MOH) has confirmed four additional cases of 2019 novel coronavirus (2019-nCoV) infection in Singapore. Of these, three cases are linked to the cluster of local transmission announced yesterday, and one is an imported case involving a Chinese tourist from Wuhan. [Ministry of Health, Singapore]
 
FEBRUARI 5: Mpaka kufikia saa 4:36 usiku wa leo kwa saa za Afrika Mashariki, ifuatayo ni idadi ya visa pamoja na vifo vyote ndani ya China bara pekee katika mikoa yote iliyoathiriwa na virusi vya Corona.

1580934541593.png
 
FEBRUARI 5: Mpaka kufikia saa 4:36 usiku wa leo kwa saa za Afrika Mashariki, ifuatayo ni idadi ya visa pamoja na vifo vyote kutokana na virusi vya Corona nje ya China bara.

1580935456713.png
 
Muda mchache kuanzia sasa tutapokea ripoti nyingine kutoka mkoa wa Hubei nchini China kuhusiana na virusi vya Corona.
 
Afrika: Guinea ya Ikweta (Equatorial Guinea) imetangaza kutoa msaada wa kifedha kwa China wa Dola za Kimarekani milioni 2 ikiwa ni kusaidia na kuunga mkono juhudi za China za kukabiliana na virusi vya Corona.

====

UPDATE: Equatorial Guinea Supports China’s Fight Against Coronavirus with $2 Million.

Equatorial Guinea’s Council of Ministers has agreed to support China’s fight against the coronavirus with a $2 million solidarity contribution this week.

Chaired by President Obiang Nguema Mbasogo, the Council of Ministers expressed its deepest support and solidarity to the Chinese Government in their fight against the global outbreak.

According to the latest updates, the coronavirus has killed almost 500 people worldwide, mostly Chinese citizens and infected over 24,000 people.

The decision of Equatorial Guinea’s Council of Minister to financially support China’s fight against the virus reflects the deep and long-standing relationship between both countries, whose cooperation has only grown stronger in recent years.

“China has always been a very strong and loyal supporter of the Republic of Equatorial Guinea and this contribution is a demonstration that Equatorial Guinea stands in solidarity with China and its people as it fights a global outbreak that has already cost too many lives,” declared H.E. Gabriel Mbaga Obiang Lima, Minister of Mines and Hydrocarbons.

“Our ongoing Year of Investment Initiative will be a testimony to the depth of our cooperation and relationship with China. It is a pleasure for Equatorial Guinea to support its partner in times of need.”

China and Equatorial Guinea have been enjoying successful economic and technical cooperation for decades. China has supported the development of Equatorial Guinea through the construction of critical telecommunications and road infrastructure, along with supporting social infrastructure in the country.

Equatorial Guinea has been a long-standing supporter of the Forum on China-Africa Cooperation (FOCAC). Last year, both countries agreed to further strengthen bilateral cooperation during a meeting between President Obiang Nguema Mbasogo and Chinese President Xi Jinping’s special representative Yang Jiechi. [African Eye Report]

1580936229744.png
 
View attachment 1347893

Hahaha hiki ni kituko cha aina yake, yani nchi masikini kama E. Guinea inaipa msaada China tena wa 2M! Angezanza kwa kusaidia raia wake ingekua vyema zaidi na kumbana mwanae aache kutapanya hela za serikali kama ni zake

Ndo yale yale ya Rais wa Gabon kutoa msaada kurebuild Notre Dame Cathedral wakati nchi yake masikini wa mwisho.
 
Hii flu virus inaua mziungu tu.
 
BREAKING: Mkoa wa Hubei nchini China umeripoti vifo vipya 70 na visa vipya 2,987 vya virusi vya Corona.

Idadi ya jumla ya vifo vyote imepanda mpaka kufikia 564 huku visa vyote vikiongezeka mpaka kufikia 27,648.

Wagonjwa wapatao 911 wamepata nafuu.

====

Hubei province reports 70 new deaths, 2,987 more confirmed cases.
  • New numbers from epicentre of the outbreak show Wednesday’s death toll higher than Tuesday’s.
  • Confirmed cases reported at 2,987, down from 3,156 a day earlier. [SCMP]
 
Mpaka sasa watu wapatao 564 wamekwisha poteza maisha kutokana na virusi vya Corona huku wengine 27, 648 wakibainika kuwa na virusi hivyo duniani kote.

1580944953269.png
 
Muendelezo:

Katika taarifa ya awali kuhusiana na meli iliyowekwa karantini nchini Japan ni kuwa, watu wengine kumi (10) wamebainika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona hivyo basi kufikia idadi ya jumla ya watu 20 waliobainika kuwa na maambukizi katika meli hiyo. Meli hiyo ilibeba wasafiri takribani 3,711.

====

UPDATE: Ten more on cruise ship in Japan test positive for coronavirus: NHK

TOKYO - Ten more people on a cruise liner in the port of Yokohama, south of Tokyo, tested positive for coronavirus, NHK said on Thursday, citing the health ministry.

About 3,700 people are facing at least two weeks quarantined on the cruise ship after 10 people initially were confirmed positive with the virus and moved out to medical facilities.

If the new infections are confirmed, that would bring the total number of coronavirus patients in Japan to 45. [Reuters]

1580951500504.png
 
WHO yasema hakuna dawa za kutibu vurusi vya corona

Shirika la Afya Ulimwenguni WHO limepuuzilia mbali ripoti za vyombo vya habari za Februari 5 za kuwepo kwa mafanikio ya dawa zinazovumbuliwa kuwatibu watu walioambukizwa virusi vipya vya corona, ambavyo vimesababisha janga nchini China na vimesambaa katika nchi nyingine zaidi ya 20.

Ripoti ya televisheni moja ya China imesema watafiti katika Chuo Kikuu cha Zhejiang wamepata dawa inayofaa kutibu virusi hivyo, huku shirika la Sky News nchini Uingereza likiripoti kupigwa hatua muhimu katika kutengeneza chanjo.

Msemaji wa WHO Tarik Jasarevic amesema hakuna tiba zozote zinazojulikana mpaka sasa za virusi vya corona na kuwa WHO inapendekeza watu kujisajili katika mpango wa kufanya majaribio ya ufanisi na usalama wa dawa.

Mchakato wa kutengeneza na kuzifanyia majaribio dawa au chanjo dhidi ya aina mpya ya virusi kawaida huchukua miaka mingi na aghalabu hukumbwa na changamoto na mapungufu. Idadi ya vifo vya ugonjwa huo imefikia zaidi ya watu 500 nchini China.

[DW]
 
Idadi ya visa vyote mpaka sasa imekwisha fikia 28,000 huku idadi ya waliopoteza maisha ikiwa ni 565 mpaka sasa.

Hii ni baada ya Wizara ya Afya nchini China kuripoti ongezeko jingine hii leo la visa 660 pamoja na kifo kimoja (1).
 
Hehehee
Hahaha hiki ni kituko cha aina yake, yani nchi masikini kama E. Guinea inaipa msaada China tena wa 2M! Angezanza kwa kusaidia raia wake ingekua vyema zaidi na kumbana mwanae aache kutapanya hela za serikali kama ni zake

Ndo yale yale ya Rais wa Gabon kutoa msaada kurebuild Notre Dame Cathedral wakati nchi yake masikini wa mwisho.
Nilijua nilieshangaa ni mwenyewe 2 asee kuna mambo yanafurahisha sanaaaaa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakazi wa Wuhan wanadai namba za vifo ni nyingi kuliko zinazotangazwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wamehoji kuhusiana na hizi ripoti zinazotoka kwamba huenda kukawa na uwezekano huo wa idadi halisi kuwa kubwa zaidi kuliko inayoripotiwa.

Pia kuna taarifa zimeenea katika news media na mitandao mbalimbali ya kijamii zinazoonesha sintofahamu kuhusiana na kile kinachoendelea.

Mfano ni taarifa hii hapa chini;

Tencent, the second largest company in China, allegedly listed figures for the coronavirus on Saturday showing 154,023 were infected and 24,589 dead - more than ten times and 80 times the official figures respectively.

But the website swiftly updated its 'Epidemic Situation Tracker' to reflect the official figures of 14,446 infected and 304 dead, internet users accused.

The other erroneous or leaked figures posted included 79,808 suspected cases - four times the official numbers - and the number of cured cases as 269, rather than 351.

China anatuchezea. Media zote zimeambiwa ziandike vitu positive tu....

Kiuhalisia mambo ni mabaya kuliko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom