FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #1,221
Ningekuwa Mello ningekuwa naakulipa kiasi kwa kazi nzuri.UPDATE: Uholanzi imeripoti kisa chake cha kwanza kabisa cha COVID-19.
Kisa hicho kimeripotiwa katika mji wa Tilburg, mji ambao upo karibu na mpaka wake (Uholanzi) na nchi ya Ubelgiji.
Imeelezwa kuwa, mtu huyo alirejea nchini humo hivi karibuni akitokea nchini Italia.
Huyu ndio mzalendo acha wale wapiga makofi.France you are the real great boss, hakuna taarifa zote unazotoa ni 100 ukweli.
Unaniokolea muda na bando.. mkuu thank you
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa naanza kuona Virus wapo too close to Tz!! MUNGU atusaidie.UPDATE: Kisa kipya cha COVID-19 kimeripotiwa barani Afrika nchini Nigeria
Wizara ya afya ya Nigeria imethibitisha kisa cha kwanza kabisa cha virusi vya Corona nchini humo mnamo Februari 27.
View attachment 1371136
Naona China kama Vifo vinapungua lakini Visa vioya vinaongezeka, au nakosea ku analyse??UPDATE: Wizara ya afya ya China imeripoti visa vipya 327 pamoja na vifo vipya 44 huku visa 318 na vifo 41 kati ya hivyo vikiripotiwa mkoani Hubei pekee.
Airport wachina wameingia wengi hili tunalo kk tushalikombaSasa naanza kuona Virus wapo too close to Tz!! MUNGU atusaidie.
Haikuweza kuenea kwa Kasi sababu ilikuwa Ni ya papo kwa papo. Tofauti na Corona mtu anaweza kusafiri nayo umbali mrefu.Mungu atusaidie. Hii Corona inasambaa kwa Kasi Sana, Na ubaya unaweza ambukiza mtu hata kabla wewe mwenyewe kuanza kuonesha dalili zake hiyo ndio hatari zaidi.
Hata Ebola outbreak haikuenea kwa Kasi hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
UPDATE: Ufaransa imeripoti visa vipya 20 nchini humo.
Mpaka sasa, Ufaransa ni nchi ya tatu kwa kuwa na visa vingi zaidi barani Ulaya baada ya Italia na Ujerumani.
Ufaransa imeripoti jumla ya visa 38 vikiwemo vifo viwili (2) huku wagonjwa wapatao 11 wakiripotiwa kupata ahueni.
UPDATE: Kisa kipya cha COVID-19 kimeripotiwa barani Afrika nchini Nigeria
Wizara ya afya ya Nigeria imethibitisha kisa cha kwanza kabisa cha virusi vya Corona nchini humo mnamo Februari 27.
View attachment 1371136
Naona China kama Vifo vinapungua lakini Visa vioya vinaongezeka, au nakosea ku analyse??
Duh! hawa virusi washapiga hodi huku Kusini mwa jangwa la Sahara. Noma hiiUPDATE: Kisa kipya cha COVID-19 kimeripotiwa barani Afrika nchini Nigeria
Wizara ya afya ya Nigeria imethibitisha kisa cha kwanza kabisa cha virusi vya Corona nchini humo mnamo Februari 27.
View attachment 1371136