Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Muendelezo:

Iran

Wizara ya Afya nchini Iran imetangaza jumla ya Vifo 34 huku idadi ya waambukizwa ikifikia 388 ikiwa ni ongezeko la maambukizi 134 ndani ya Masaa 24.

Hii ni sawa na Asilimia 10 ya wagonjwa wanafariki. Hii inafanya Iran kuwa na nchi yenye kiwango kikubwa kuliko nchi zote

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiiii ni iran je africa yetu......aisee hali ni tete

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NEWS ALERT: Nigeria’s first confirmed coronavirus case entered the country on a Turkish Airlines flight that traveled from Istanbul. The man is the first confirmed case in sub-Saharan Africa. [Reuters]
 
HABARI: Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru kusitishwa kwa muda kupokea ndege za abiria kutoka China kutokana na nchi hiyo kuwa na maambukizi ya virusi vya corona-MCL

Sent using Jamii Forums mobile app
Meanwhile in Tazania!
tapatalk_1582623324418.jpeg
 
UPDATE: Uhispania imethibitisha visa vipya saba (7) nchini humo na kufikisha jumla ya visa 32 hadi sasa huku kukiwa na uwezekano wa visa vipya kuongezeka zaidi.
 
Kuna nchi fulani ya Afrika mashariki ikigundua uwepo wa corona itaficha, wala haitatangaza![emoji12][emoji12][emoji12]
Kwa umasikini unaotukabili,isitoshe tayari COVID-19 ishaingia tanzania ila hatujui tu kulingana na uhaba wa huduma za afya. Siku hizi hata ukienda hospitali unaumwa sikio wanakwambia una UTI na malaria,ndio watakuja kufahamu virus wa corona?
Kwa kweli Mungu tuhurumie tu.
 
NEWS ALERT: The Italian man who was confirmed as Nigeria’s first case was in the country for almost two full days before being isolated, travelled through Lagos and visited another state. [Reuters]
 
UPDATE: Visa vya kwanza vya COVID-19
  • Kisa cha kwanza kimeripotiwa Azerbaijan. Raia wa Urusi aliyeingia nchini humo hivi karibuni akitokea nchini Iran
  • Kisa cha kwanza kimeripotiwa Mexico City nchini Mexico
  • Kisa cha kwanza kimeripotiwa nchini Iceland. Mtu huyo alirejea nchini humo hivi karibuni akitokea Italia
 
TAARIFA ZA HIVI PUNDE.
MTALII MMOJA RAIA WA CHINA AMEWEKWA CHINI YA UANGALIZI MAALUM KWENYE HOTEL YA RIVER TREE ILIYOPO USA RIVER ARUSHA, BAADA YA KUWA NA DALILI ZOTE ZA UGONJWA WA CORONA. MADAKTARI KUTOKA HOSPITALI YA WILAYA TENGERU NA HOSPITALI YA MKOA YA MOUNT MERU WAMESHAFIKA KWENYE HOTEL YA RIVER TREE MUDA HUU.
Jamani Tumuombe Mungu waTanzania tutakwusha

C&P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliyoyasema kuhusu kuruhusu hawa viumbe,yametukuta sasa
TAARIFA ZA HIVI PUNDE.
MTALII MMOJA RAIA WA CHINA AMEWEKWA CHINI YA UANGALIZI MAALUM KWENYE HOTEL YA RIVER TREE ILIYOPO USA RIVER ARUSHA, BAADA YA KUWA NA DALILI ZOTE ZA UGONJWA WA CORONA. MADAKTARI KUTOKA HOSPITALI YA WILAYA TENGERU NA HOSPITALI YA MKOA YA MOUNT MERU WAMESHAFIKA KWENYE HOTEL YA RIVER TREE MUDA HUU.
Jamani Tumuombe Mungu waTanzania tutakwusha

C&P

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Bahrain imeripoti visa vipya vitano (5) nchini humo. Watu wote watano waliingia nchini humo hivi karibuni wakitokea nchini Iran.
 
Juu ya hili serikali ya Tanzania inapaswa kubeba huu msala kabisa lawama ni juu yao nashindwa kuelewa ni nn hasa yalikuwa malengo yao kuwakaribisha wachina eti kutalii wakati huu wa ugonjwa
TAARIFA ZA HIVI PUNDE.
MTALII MMOJA RAIA WA CHINA AMEWEKWA CHINI YA UANGALIZI MAALUM KWENYE HOTEL YA RIVER TREE ILIYOPO USA RIVER ARUSHA, BAADA YA KUWA NA DALILI ZOTE ZA UGONJWA WA CORONA. MADAKTARI KUTOKA HOSPITALI YA WILAYA TENGERU NA HOSPITALI YA MKOA YA MOUNT MERU WAMESHAFIKA KWENYE HOTEL YA RIVER TREE MUDA HUU.
Jamani Tumuombe Mungu waTanzania tutakwusha

C&P

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TAARIFA ZA HIVI PUNDE.
MTALII MMOJA RAIA WA CHINA AMEWEKWA CHINI YA UANGALIZI MAALUM KWENYE HOTEL YA RIVER TREE ILIYOPO USA RIVER ARUSHA, BAADA YA KUWA NA DALILI ZOTE ZA UGONJWA WA CORONA. MADAKTARI KUTOKA HOSPITALI YA WILAYA TENGERU NA HOSPITALI YA MKOA YA MOUNT MERU WAMESHAFIKA KWENYE HOTEL YA RIVER TREE MUDA HUU.
Jamani Tumuombe Mungu waTanzania tutakwusha

C&P

Sent using Jamii Forums mobile app
The government has really hurt me.
Wizara yautalii ingeweza kuzuiya watalii kutoka China mapema tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom