Naona China kama Vifo vinapungua lakini Visa vioya vinaongezeka, au nakosea ku analyse??
TumekwishaUPDATE: Kisa kipya cha COVID-19 kimeripotiwa barani Afrika nchini Nigeria
Wizara ya afya ya Nigeria imethibitisha kisa cha kwanza kabisa cha virusi vya Corona nchini humo mnamo Februari 27.
View attachment 1371136
VizuriUfupisho taarifa muhimu muda wote juu ya covid-19.
https://infographics.channelnewsasia.com/covid-19/map.html
Sent using Jamii Forums mobile app
UPDATE: Ujerumani
Visa vipya 14 vimeripotiwa katika jimbo la North Rhine-Westphalia magharibi mwa Ujerumani.
Pia, visa vipya vinne (4) vimeripotiwa katika jimbo la Baden-Württemberg kusini magharibi mwa nchi hiyo huku pia jimbo jingine la Bavaria likiripoti kisa chake cha kwanza cha COVID-19.
Hadi hivi sasa, Ujerumani imeripoti jumla ya visa 45, wagonjwa takribani 16 wameripotiwa kupata ahueni huku wagonjwa wawili (2) wakiwa katika hali mbaya zaidi.
Kabisa yaani!Serikali itapaswa kulaumiwa ugonjwa huu ukilipuka hapa sababu sijasikia hatuayoyote kwenye chombo cha habari wizara husika wakituelekeza wananchi tufanyeje.
Na nadhani tulipaswa kuzuiya wageni kutoka china, sijui tunawaza nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
UPDATE: Kisa kipya cha COVID-19 kimeripotiwa barani Afrika nchini Nigeria
Wizara ya afya ya Nigeria imethibitisha kisa cha kwanza kabisa cha virusi vya Corona nchini humo mnamo Februari 27.
View attachment 1371136
Ndiyo!Mkuu kuna mahali nimesoma kuwa Makamu wa rais wa Iran naye mgonjwa, umeithibitisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
NEWS ALERT: Masoumeh Ebtekar, one of Iran's vice presidents, has tested positive for coronavirus. [IRNA]
View attachment 1370658
- On Wednesday, she attended a cabinet meeting in Tehran & sat a few yards from Iranian President Hassan Rouhani
UPDATE: Iran
- Vice President Masoumeh Ebtekar tested positive for virus, state media reports
- Friday prayers in Tehran and other cities canceled, news agencies say
- Entry by Chinese nationals banned
- 245+ cases confirmed with 26 deaths