Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Mkuu kuna mahali nimesoma kuwa Makamu wa rais wa Iran naye mgonjwa, umeithibitisha?
UPDATE: Ujerumani

Visa vipya 14 vimeripotiwa katika jimbo la North Rhine-Westphalia magharibi mwa Ujerumani.

Pia, visa vipya vinne (4) vimeripotiwa katika jimbo la Baden-Württemberg kusini magharibi mwa nchi hiyo huku pia jimbo jingine la Bavaria likiripoti kisa chake cha kwanza cha COVID-19.

Hadi hivi sasa, Ujerumani imeripoti jumla ya visa 45, wagonjwa takribani 16 wameripotiwa kupata ahueni huku wagonjwa wawili (2) wakiwa katika hali mbaya zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna blacks aliyekufa kwa Corona duniani??

Sent using Jamii Forums mobile app

Umeanzia huko kwa wenye rangi rangi, Na bado Unatembea huko huko,ndio maana hapati Habari kuhusu blacks.
Ila naamini ukiingia huku kwetu blacks tutakufa wengi sana kutokana na Uzembe na kuficha ficha mambo kwetu,
Dhiki ya maisha nayo itachangia pia,maana kipato chetu cha siku moja na kesho ukatafute tena, lile Zoezi la kuweka eneo quarantine litashindikana,Hapo ndio kitimtimu kitakapo anza.
Mungu atusaidie sana.
 
BREAKING: Korea Kusini imethibitisha visa vipya 315 nchini humo ikiwa ni visa 571 ndani ya siku ya leo pekee na kufikisha jumla ya visa 2,337 nchi nzima.
 
Huyu naye
2020-02-28%2011.46.04.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Visa vya kwanza vimeripotiwa katika nchi za Lithuania, New Zealand pamoja na Belarus.
 
Mkuu kuna mahali nimesoma kuwa Makamu wa rais wa Iran naye mgonjwa, umeithibitisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo!

Hizi hapa;

NEWS ALERT: Masoumeh Ebtekar, one of Iran's vice presidents, has tested positive for coronavirus. [IRNA]
  • On Wednesday, she attended a cabinet meeting in Tehran & sat a few yards from Iranian President Hassan Rouhani
View attachment 1370658
UPDATE: Iran
  • Vice President Masoumeh Ebtekar tested positive for virus, state media reports
  • Friday prayers in Tehran and other cities canceled, news agencies say
  • Entry by Chinese nationals banned
  • 245+ cases confirmed with 26 deaths
 
UPDATE: Ufaransa imeripoti visa vipya vitatu (3) nchini humo huku miongoni mwa visa hivyo kikiwemo kisa cha kwanza kabisa mjini Nice.

Mpaka sasa, jumla ya visa 41 vimeripotiwa nchini humo.
 
Back
Top Bottom