Hawa waitaliano mbona wanakua Kama broilers aisee , kasi ya maambukizi inatishaUPDATE
Abu Dhabi
Hoteli mbili zawekwa katika kwarantini baada ya Waitaliano Wawili kukutwa na maambukizi ya Virus vya Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] thubutun kumweka mkulu muoneRais wa Mongolia awekwa kwenye uangalizi baada ya kutoka China. Amewekwa yeye na wenzake wote walioenda china
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiiii ni iran je africa yetu......aisee hali ni teteMuendelezo:
Iran
Wizara ya Afya nchini Iran imetangaza jumla ya Vifo 34 huku idadi ya waambukizwa ikifikia 388 ikiwa ni ongezeko la maambukizi 134 ndani ya Masaa 24.
Hii ni sawa na Asilimia 10 ya wagonjwa wanafariki. Hii inafanya Iran kuwa na nchi yenye kiwango kikubwa kuliko nchi zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Meanwhile in Tazania!HABARI: Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru kusitishwa kwa muda kupokea ndege za abiria kutoka China kutokana na nchi hiyo kuwa na maambukizi ya virusi vya corona-MCL
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa umasikini unaotukabili,isitoshe tayari COVID-19 ishaingia tanzania ila hatujui tu kulingana na uhaba wa huduma za afya. Siku hizi hata ukienda hospitali unaumwa sikio wanakwambia una UTI na malaria,ndio watakuja kufahamu virus wa corona?Kuna nchi fulani ya Afrika mashariki ikigundua uwepo wa corona itaficha, wala haitatangaza![emoji12][emoji12][emoji12]
TAARIFA ZA HIVI PUNDE.
MTALII MMOJA RAIA WA CHINA AMEWEKWA CHINI YA UANGALIZI MAALUM KWENYE HOTEL YA RIVER TREE ILIYOPO USA RIVER ARUSHA, BAADA YA KUWA NA DALILI ZOTE ZA UGONJWA WA CORONA. MADAKTARI KUTOKA HOSPITALI YA WILAYA TENGERU NA HOSPITALI YA MKOA YA MOUNT MERU WAMESHAFIKA KWENYE HOTEL YA RIVER TREE MUDA HUU.
Jamani Tumuombe Mungu waTanzania tutakwusha
C&P

The government has really hurt me.TAARIFA ZA HIVI PUNDE.