Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

UPDATE: Uswidi imeripoti visa vipya vinne (4) huku pia nchi jirani ya Norway ikiripoti visa vipya viwili (2) ambapo wagonjwa hao wawili waliingia nchini humo wakitokea nchini Italia.
 
BREAKING: Wizara ya afya ya China imeripoti visa vipya 427 pamoja na vifo vipya 47 nchi nzima. Kati ya hivyo, visa vipya 423 pamoja na vifo vipya 45 vimeripotiwa mkoani Hubei pekee.
 
UPDATE: China
  • 79,251 confirmed cases
  • 2,835 deaths
  • 7,664 in serious condition
  • 1,418 suspected
  • 39,002 recovered
 
BREAKING: Korea Kusini imethibitisha visa vipya 594 nchini humo na kufikisha jumla ya visa 2,931 huku vifo 16 vikiripotiwa hadi sasa.
 
UPDATE: Hadi sasa, visa vipatavyo 85,181 vimeripotiwa ulimwenguni huku idadi ya waliokufa kutokana na virusi vya COVID-19 ikifikia 2,923 duniani kote kulingana na takwimu rasmi.
 

Hii habari sio njema....
 
Mimi naishi haya maeneo sijajua ni ukweli au la ila hili swala limeshapingwa ....sina uakika serikali yetu inafichaga mambo kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…