TAARIFA ZA HIVI PUNDE.
MTALII MMOJA RAIA WA CHINA AMEWEKWA CHINI YA UANGALIZI MAALUM KWENYE HOTEL YA RIVER TREE ILIYOPO USA RIVER ARUSHA, BAADA YA KUWA NA DALILI ZOTE ZA UGONJWA WA CORONA. MADAKTARI KUTOKA HOSPITALI YA WILAYA TENGERU NA HOSPITALI YA MKOA YA MOUNT MERU WAMESHAFIKA KWENYE HOTEL YA RIVER TREE MUDA HUU.
Jamani Tumuombe Mungu waTanzania tutakwusha
C&P
Sent using Jamii Forums mobile app
A chosen nation!?
A chosen nation!?
What a prick!
corona imeingia italy kwa fujo gia namba 4 mixer kustunt kwa sanaπππππππUPDATE: Italia
Visa vipya 239 vimeripotiwa nchini humo sambamba na vifo vipya nane (8).
Mpaka sasa idadi ya visa vyote nchini humo imeongezeka mpaka kufikia 1,128 huku idadi ya vifo ikifikia 29 nchi nzima hadi sasa.
Pia, imeelezwa kuwa wagonjwa wapatao 105 wako katika hali mbaya zaidi na wamewekwa katika vyumba maalumu kwaajili ya wagonjwa mahututi (ICU).
UPDATE: Marekani
Rais wa Marekani, Donald Trump ameeleza kuwa mtu huyo aliyeripotiwa kufariki dunia alikuwa na umri wa miaka ya hamsini (50s), mwanamke aliyekuwa na matatizo mengine ya kiafya.
Trump ameongeza pia, watu wengine wanne wako katika "hali mbaya zaidi".
Pia, Gavana wa jimbo la Washington, Jay Inslee, ametangaza hali ya hatari kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona katika jimbo hilo.
hapa sasa tutaanza kuelewana nadhani watu sasa watapata kuamini ni janga la dunia mana wengi mawazo yao marekani ndo amesambaza hivi virusi ila kufikia hapa bira ushirikiano tutaangamiaUPDATE: Marekani imethibitisha kifo cha kwanza nchini humo kinachohusishwa na virusi vya Corona katika jimbo la Washington.
Kifo hicho ni miongoni mwa visa vipya kadhaa vilivyoripotiwa hivi karibuni katika jimbo hilo, maafisa wameeleza.