dunia ina nchi kama 190 hivi naona tunaikaribia nusu🙄🙄🙄 kweli hii Corona 🚗 inataka kupitia nchi zote.[emoji51][emoji51][emoji51] View attachment 1375645
[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]Aisee kwakwel, wazo lako ukilifikiria mara 3 linamanticInabidi nchi za kiafrica zifanye confirmation haraka kujua kama huu ugonjwa hautuathiri sisi ngozi nyeusi ili itumie hii fursa kuwapeleka vijana wetu wakapige kazi huko china na nchi zilizoathiriwa.
Inawezekana hii ndio fursa ya pekee iliyoletwa na Mungu ili kumkomboa mwafrica kutoka kwenye lindi la umaskini
Ugonjwa unasabaa kwa kasi ya ajabu sana.[emoji51][emoji51][emoji51] View attachment 1375645
Daah inabidi ikupate na wew upungue,,,,,unatujazia tu vyoo hapa afu kichwan hamna kituSafi saana... Corona kamua baba...usitumie hirizi population ya Dunia ipungue watu tumefika billions kadunia kenyewe kadogo.
We are overpopulated.... Please depopulates us friendly.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawezi kuongea lolote bila uthibitisho wa sampuli zaidi ya 20Inabidi nchi za kiafrica zifanye confirmation haraka kujua kama huu ugonjwa hautuathiri sisi ngozi nyeusi ili itumie hii fursa kuwapeleka vijana wetu wakapige kazi huko china na nchi zilizoathiriwa.
Inawezekana hii ndio fursa ya pekee iliyoletwa na Mungu ili kumkomboa mwafrica kutoka kwenye lindi la umaskini
Hata kama kichwani mwake kuna vitu basi havishirikianiDaah inabidi ikupate na wew upungue,,,,,unatujazia tu vyoo hapa afu kichwan hamna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi tukutane tukuweke kwenye quarantineHuu ugonjwa huko China haujaanza jana wala juzi, hadi China inautangazia ulimwengu kuwa kuna tatizo la Corona, ni dhahiri kabisa ni baada ya kulemewa na kuanza kusambaa kwa taarifa mitandaoni ndio wakaamua sasa kusema,muda wanaongea huenda tatizo limeshazunguka dunia nzima.
Ni kwamba nilikuwa China mwezi Septemba jimbo moja la Kunming, wakati naondoka Airport ya Bejing Kwenda jimbo la Kunming ndani ya ndege nilishuhudia hali mbaya sana ya afya za abiria wa kichina,walikuwa wakikohoa na makohozi hadi najisikia vibaya,nikishindwa hata kupata breakfast humo,hali hy niliikuta pia kwenye flight to Kunming kwenda Gasa...nikajua ni homa ya mapafu na koo labda kwa vile wachina wanavuta sigara sana.
Niliporudi hapa bongo niliugua sana madonda ya kooni na homa kali baada ya wiki moja mke wangu akaugua na wanangu wawili kwa pamoja,japo wote walipona homa ileile....sasa baada ya ugonjwa ule kutajwa nilipoangalia dalili,ni zilezile.....CORONA...
Ugonjwa humu nchini upo,sema tu huenda kweli waafrika tupo tolerant na ugonjwa huo,ugonjwa huu utakuwa umesambaa dunia nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe dariri na wewe ulitumia nini kiongoziHuu ugonjwa huko China haujaanza jana wala juzi, hadi China inautangazia ulimwengu kuwa kuna tatizo la Corona, ni dhahiri kabisa ni baada ya kulemewa na kuanza kusambaa kwa taarifa mitandaoni ndio wakaamua sasa kusema,muda wanaongea huenda tatizo limeshazunguka dunia nzima.
Ni kwamba nilikuwa China mwezi Septemba jimbo moja la Kunming, wakati naondoka Airport ya Bejing Kwenda jimbo la Kunming ndani ya ndege nilishuhudia hali mbaya sana ya afya za abiria wa kichina,walikuwa wakikohoa na makohozi hadi najisikia vibaya,nikishindwa hata kupata breakfast humo,hali hy niliikuta pia kwenye flight to Kunming kwenda Gasa...nikajua ni homa ya mapafu na koo labda kwa vile wachina wanavuta sigara sana.
Niliporudi hapa bongo niliugua sana madonda ya kooni na homa kali baada ya wiki moja mke wangu akaugua na wanangu wawili kwa pamoja,japo wote walipona homa ileile....sasa baada ya ugonjwa ule kutajwa nilipoangalia dalili,ni zilezile.....CORONA...
Ugonjwa humu nchini upo,sema tu huenda kweli waafrika tupo tolerant na ugonjwa huo,ugonjwa huu utakuwa umesambaa dunia nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona Israel wako kwenye kategoria mbili.[emoji51][emoji51][emoji51] View attachment 1375645
sahihi mkuu nakumbuka mwezi wa 11 kwenda 12 nilipigwa na mafua makali mpk viungo vikawa havikunji nikawekwa mapumziko mida saa 5 usiku kidspensary cha mtaani pima marelia hakuna lkn homa haishuki jasho linanitililika pua zimebana mbavu zinauma pumzi tabu kupumua haitoki nikahisi nakufa mana sikuwahi kukutana na mafua aina hiyo sasa sikutaka kulazwa mana ningekuwa lelemama ningetiwa drip nikarud home nikameza dawa za marelia zinaitwa ORODAR nikapiga dawa tatu tembe 2 na vidonge fulani vya pumu km ikibanaa sanaHuu ugonjwa huko China haujaanza jana wala juzi, hadi China inautangazia ulimwengu kuwa kuna tatizo la Corona, ni dhahiri kabisa ni baada ya kulemewa na kuanza kusambaa kwa taarifa mitandaoni ndio wakaamua sasa kusema,muda wanaongea huenda tatizo limeshazunguka dunia nzima.
Ni kwamba nilikuwa China mwezi Septemba jimbo moja la Kunming, wakati naondoka Airport ya Bejing Kwenda jimbo la Kunming ndani ya ndege nilishuhudia hali mbaya sana ya afya za abiria wa kichina,walikuwa wakikohoa na makohozi hadi najisikia vibaya,nikishindwa hata kupata breakfast humo,hali hy niliikuta pia kwenye flight to Kunming kwenda Gasa...nikajua ni homa ya mapafu na koo labda kwa vile wachina wanavuta sigara sana.
Niliporudi hapa bongo niliugua sana madonda ya kooni na homa kali baada ya wiki moja mke wangu akaugua na wanangu wawili kwa pamoja,japo wote walipona homa ileile....sasa baada ya ugonjwa ule kutajwa nilipoangalia dalili,ni zilezile.....CORONA...
Ugonjwa humu nchini upo,sema tu huenda kweli waafrika tupo tolerant na ugonjwa huo,ugonjwa huu utakuwa umesambaa dunia nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana,je ulitumia dawa gani kusaidia watu endapo ukifika japo hatuombei ufike kwetu.Huu ugonjwa huko China haujaanza jana wala juzi, hadi China inautangazia ulimwengu kuwa kuna tatizo la Corona, ni dhahiri kabisa ni baada ya kulemewa na kuanza kusambaa kwa taarifa mitandaoni ndio wakaamua sasa kusema,muda wanaongea huenda tatizo limeshazunguka dunia nzima.
Ni kwamba nilikuwa China mwezi Septemba jimbo moja la Kunming, wakati naondoka Airport ya Bejing Kwenda jimbo la Kunming ndani ya ndege nilishuhudia hali mbaya sana ya afya za abiria wa kichina,walikuwa wakikohoa na makohozi hadi najisikia vibaya,nikishindwa hata kupata breakfast humo,hali hy niliikuta pia kwenye flight to Kunming kwenda Gasa...nikajua ni homa ya mapafu na koo labda kwa vile wachina wanavuta sigara sana.
Niliporudi hapa bongo niliugua sana madonda ya kooni na homa kali baada ya wiki moja mke wangu akaugua na wanangu wawili kwa pamoja,japo wote walipona homa ileile....sasa baada ya ugonjwa ule kutajwa nilipoangalia dalili,ni zilezile.....CORONA...
Ugonjwa humu nchini upo,sema tu huenda kweli waafrika tupo tolerant na ugonjwa huo,ugonjwa huu utakuwa umesambaa dunia nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
huoni kasema kashaponaInabidi tukutane tukuweke kwenye quarantine