Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Wazungu wakitafunwa wote mimi naenda zangu ujerumani namiliki nyumba ya makel na naenda spain kumiliki mali zote za messi hii ndo fursa kwa tusio na ajira.hapa sasa ndo unajua kbs kwa nini magu alikomaa tununue bombadia
Salamayako ni kwasababu Africa kunajoto.
Virusi vinafanya kazi katika nchi hizo sababu kuna baridi, sasa wewe anataka kwenda kujiua amavipi.

Wewe ni kichaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
India

Kundi la Watalii wa Kiitaliano 17 lakutwa na maambukizi ya virusi vya Korona nchini India, dereva aliyekuwa akiwatembeza akutwa na maambukizi pia....

India ilikuwa na wagonjwa 28 kabla ya hawa 18

Wote wamewekwa katika uangalizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi corona ilikuwepo muda mrefu ila ilichelewa kutangazwa nilirudi tz tarehe 06/01 nikapitia uturuki nilishikwa na mafua kikohozi homa na koo kukauka niliumwa sana niliwaambukiza baadhi ya watu pia
 
Iran

Serikali ya Iran imetangaza ongezeko la vifo 15 na kufanya jumla ya vifo 92 vinavyohusishwa na Corona.

Maambukizi yawakumba wabunge 23

Raia wa kawaida 2922

Serikali ya Iran imezuia Swala ya Ijumaa ili kudhibiti maambukizi hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE

19:22 GMT
Single Algerian family sees 16 relatives infected
The number of cases in Algeria has increased by nine to 17, the country’s health ministry has said. They include 16 from the same family in the Blida province, about 30km south of the capital Algiers, as well as an Italian man.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE

19:11 GMT
Sharp increase in cases in Sweden
Sixteen new cases of the coronavirus have been confirmed in Stockholm, according to local authorities, taking the total number of cases in Sweden to 52. Region Stockholm said:

Sixteen additional patients were found infected with Covid-19 ... The infected patients are being cared for in isolation to reduce the risk of further transmission.

The causes of four of the 31 confirmed cases in the Stockholm region remain under investigation, as – unlike the rest of the cases – no clear link to infection abroad or contact with people who had been infected abroad was found, the authority said.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…