Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,904
- 3,006
Labda kwa vile sio ngozi nyeusi yawezekanaIran
Saudi Arabia
Kuwait
Bahrain
India
Moroco
Algeria
Tusinia
Hizi zote zina joto Dar cha mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kwa vile sio ngozi nyeusi yawezekanaIran
Saudi Arabia
Kuwait
Bahrain
India
Moroco
Algeria
Tusinia
Hizi zote zina joto Dar cha mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiachana na yakwamba sio ngozi nyeusi kwasasa nchi ama mataifa Mengi Duniani Hasa Ulaya Mashariki Yakati Yapo Katika Kipindi ChabaridiLabda kwa vile sio ngozi nyeusi yawezekana
Katika taarifa nilizozinukuu, umetajwa uraia wao. Rangi za ngozi zao hazikutajwa.
Kweli Africa ina mlinzi wake wa AsiliIdadi ya visa vipya inazidi kuongezeka barani Afrika ingawa kwa kasi ya chini.
Katika taarifa nilizozinukuu, umetajwa uraia wao. Rangi za ngozi zao hazikutajwa.
Mmoja ni raia wa Ufaransa ambaye ni mke wa kile kisa kilichoripotiwa mwanzoni nchini humo. Kisa kingine ni raia wa Uingereza aliyeko nchini Senegal.
Kwa hiyo mkuu kwa tathmini za haraka haraka huu ugonjwa hauonekani japo kupungua hata mara moja hasa hapo kwenye main point yake China zaidi unazidi kuenea?UPDATE: China
Hadi hivi sasa;
- Visa 80,409 vimeripotiwa nchini humo
- Vifo 3,012 vimeripotiwa nchini humo
- Wagonjwa 5,952 wako katika hali mbaya zaidi
- Wagonjwa 52,045 wamepata ahueni