VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,168
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
France.
Mmalaka nchini Ufaransa zatangaza ongezeko la vifo 3 siku ya leo hivyo kufikisha vifo 7.
Waambukizwa wamefikia 438
Sent from my GT-I9152 using JamiiForums mobile app
Ni vile tu nimechoka kuandika ila kukusaidia kuanzia leo hii tambua ya kua HAKUNA KIRUSI CHOCHOTE KILE CHENYE DAWA , CHOCHOTE KILESame old stories given new names....
Mnakumbuka Swine na Birds flu?
Haya mambo yanahitaji mtu mfuatiliaji sana kung'amua ukweli ulivyo,maana ni mchanganyiko wa mambo mengi sana....wakubwa wa dunia wakitaka ku accelerate agenda zao fulani huwa wanatumia mbinu kama hizi danganyifu....
Hebu tujiulize,huo uhatari wa corona unatokea wapi kama kati ya watu 100 wanaoambukizwa wanakufa watu 2 tu,na tunaambiwa corona haina dawa wala kinga?
je,hao watu 98 kati ya 100 walioambukizwa corona wanaponaje wakati corona haina kinga wala tiba?
Zitendeeni haki akili zenu,nguvu ya MEDIA ni kubwa sana na imeshikiliwa na watu wakubwa sana duniani,wakitaka kuidanganya dunia kwa jambo lolote lile ili kutimiza malengo yao, its just a matter of seconds,watu karibu wote duniani wataamini.
Sasa hivi watu hawajiulizi kabisa,wanaongea tu kama misukule wakisema eti corona ni ugonjwa hatari sana,hii ndio nguvu ya media.
Death rate ya corona(tuchukulie ipo),ni just 2%...yaani kati ya watu 100 wanaoambukizwa watu 2 tu ndio hufa..
Je,mnajisahaulisha kwa makusudi kabisa kuhusu death rate ya malaria na magonjwa mengine halisi kabisa? Je,watu hawafi klwa malaria kila siku iendayo?
Idadi ya watu wafao kwa malaria na rate ya uambukizwaji wa malaria inafanana na corona?
Zitendeeni haki akili zenu.
Italy
Nchini Italia leo vimetokea vifo 41 na kufikisha jumla ya vifo 148 nchini Italia.
Italia ikiwa nchi yenye vifo vingi baada ya China, ikifuatiwa na Iran.
Maambukizi yamefika nchi nzima.
Shule zote zimefungwa
Serikali yatenga zaidi ya Tril 17 za Kitanzania kama rescue plan....
Serikali ya Italia inadai Mjerumani ndiye Patient Zero.
Sent from my GT-I9152 using JamiiForums mobile app
Same old stories given new names....
Mnakumbuka Swine na Birds flu?
Haya mambo yanahitaji mtu mfuatiliaji sana kung'amua ukweli ulivyo,maana ni mchanganyiko wa mambo mengi sana....wakubwa wa dunia wakitaka ku accelerate agenda zao fulani huwa wanatumia mbinu kama hizi danganyifu....
Hebu tujiulize,huo uhatari wa corona unatokea wapi kama kati ya watu 100 wanaoambukizwa wanakufa watu 2 tu,na tunaambiwa corona haina dawa wala kinga?
je,hao watu 98 kati ya 100 walioambukizwa corona wanaponaje wakati corona haina kinga wala tiba?
Zitendeeni haki akili zenu,nguvu ya MEDIA ni kubwa sana na imeshikiliwa na watu wakubwa sana duniani,wakitaka kuidanganya dunia kwa jambo lolote lile ili kutimiza malengo yao, its just a matter of seconds,watu karibu wote duniani wataamini.
Sasa hivi watu hawajiulizi kabisa,wanaongea tu kama misukule wakisema eti corona ni ugonjwa hatari sana,hii ndio nguvu ya media.
Death rate ya corona(tuchukulie ipo),ni just 2%...yaani kati ya watu 100 wanaoambukizwa watu 2 tu ndio hufa..
Je,mnajisahaulisha kwa makusudi kabisa kuhusu death rate ya malaria na magonjwa mengine halisi kabisa? Je,watu hawafi klwa malaria kila siku iendayo?
Idadi ya watu wafao kwa malaria na rate ya uambukizwaji wa malaria inafanana na corona?
Zitendeeni haki akili zenu.
walioambukizwa ni 438,waliokufa ni 7;
Les do maths... 7/438 x 100=1.59 uki round off unapata 2%
Haya ndio ninayosema....yaani kati ya watu 100 wanaoambukizwa hufa 2 tu,keep in mind kwamba tumeambiwa corona haina kinga wala tiba.
Do you still buy huu upuuzi?Bado unasema corona ni hatari?
Hao watu 98 wameponaje wakati corona haina kinga wala tiba?
Twende kwenye case hii halisi kulingana na data ulizotoa....
Hesabu za kutoa 438-7=431.... yaani kati ya watu 438 walioambukizwa wamekufa 7 tu,lakini wamepona watu 431...Je,hao watu wengi sana 431 wameponaje wakati corona haina kinga wala tiba?
Yaani watu 431 kati ya 438 wamepona halafu mijitu bado inang'ang'ania kwamba corona ni hatari sana...MEDIA ina nguvu sana.
Hivi watu wanasahau kwamba kipindi cha kubadili majira ya mwaka watu wengi sana huugua/huambukizwa magonjwa/homa zitokanazo na/kama malaria,mafua nk na wengi sana hufa kwa rate kubwa kuliko huu upuuzi wa corona?..au kwasababu hili halipewi nguvu ya media na wakubwa wa dunia?
Zitendeeni haki akili zenu.
Huyo jamaa wanamuelewa sana wale watu wasiojua vitu, kwakuwa akili zao zinafanana ko ni lazima wamueleweNi vile tu nimechoka kuandika ila kukusaidia kuanzia leo hii tambua ya kua HAKUNA KIRUSI CHOCHOTE KILE CHENYE DAWA , CHOCHOTE KILE
jua hilo kuanzia leo hii, mengine utaongezea mwenyewe kwa kusoma
Sent using Jamii Forums mobile app