UPDATE
• The Italian government has ordered the closure of all schools and universities until 15 March as it grapples to contain Europe’s worst outbreak of coronavirus that has claimed 107 lives, an increase of 28 in 24 hours.
Sent using Jamii Forums mobile app
Myahudi wa kwa mtogole kapanic [emoji1][emoji16][emoji2960]Bro mm nimeuliza tu mbna unapanic [emoji16][emoji16]
Kwan italy na korea walitumia hela zote kupiga mabomu wapi[emoji4][emoji38][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaelekea Hubei hali si haliBREAKING: Wizara ya afya ya China imeripoti via vipya 139 sanjari na vifo vipya 31 nchini humo huku visa 134 kati ya hivyo vikitokea katika mkoa ya Hubei pekee.
na hao ni waliojitokeza kupima 😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷Inaelekea Hubei hali si hali
Hao wa Senegal ni ngozi nyeusi?UPDATE: Barani Afrika
1. Senegal imeripoti visa vipya viwili (2) nchini humo na kufikisha jumla ya visa vinne (4) nchi nzima.
2. Algeria imeripoti visa vipya tisa (9) nchini humo na kufikisha jumla ya visa 17 nchi nzima.
UPDATE: Barani Afrika
1. Senegal imeripoti visa vipya viwili (2) nchini humo na kufikisha jumla ya visa vinne (4) nchi nzima.
2. Algeria imeripoti visa vipya tisa (9) nchini humo na kufikisha jumla ya visa 17 nchi nzima.
Wakati mie nilimuuliza tu ila naona kapovu kakamchuruzika aseee
Inaelekea Hubei hali si hali
Hahahahahaaa daaah haya bhanaNgozi nyeusi tumegoma kabisa kufa kwa mafua..Ni udhalilishaji wa melanin pigment.
Sent using Jamii Forums mobile app
so hapa Allah kawaacha waja wake kabisaIran
Serikali ya Iran imetangaza ongezeko la vifo 15 na kufanya jumla ya vifo 92 vinavyohusishwa na Corona.
Maambukizi yawakumba wabunge 23
Raia wa kawaida 2922
Serikali ya Iran imezuia Swala ya Ijumaa ili kudhibiti maambukizi hayo
Sent using Jamii Forums mobile app