Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

UPDATE: Italia

Visa vipya 1,247 pamoja na vifo vipya saba 36 vimeripotiwa nchini humo na kufikisha jumla ya visa 5,883 huku wagonjwa wapatao 462 wakiwa katika hali mbaya zaidi na wengine 589 wakiripotiwa kupata nafuu.

Idadi ya vifo nchini humo vinavyohusishwa na ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) imefikia 233 hadi hivi sasa.
 
kama vile wanashindana.

Mungu wasaidie hawa waja wako napia utulinde na sisi na huu ugonjwa maana malaria na ugumu wa maisha inatutosha. AMIIIN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Mainland China
  • 80,695 confirmed cases so far
  • 3,097 deaths so far
  • 5,264 in serious/critical condition
  • 57,065 recovered
 
UPDATE: Duniani

Hadi hivi sasa, jumla ya visa 105,912 vimeripotiwa kote duniani huku watu wapatao 3,597 wakipoteza maisha ulimwenguni kote kutokana na ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) kulingana na takwimu rasmi.

Wagonjwa wapatao 59,866 wameripotiwa kupata ahueni huku visa vya COVID-19 vikizidi kuongezeka zaidi katika sehemu mbalimbali duniani.
 
NEWS ALERT: Seventy trapped after Chinese coronavirus quarantine hotel collapses, more than half rescued. [Reuters]

A five-storey hotel being used for coronavirus quarantine collapsed in the southeast Chinese port city of Quanzhou on Saturday, trapping about 70 people, state media said.

 
Hello
Nitangulize samahani kwenu maana nitatumia uzi huu kuomba ushauri kwa sababu ndio wapo member wenye fully update za corona na hali ya kiuchumi ya dunia kwa sasa so sina budi. Tafadhari usinitukane nijibu na km nitakuwa nimekuudhi narudia samahani sana.
Nipo mbioni kufungua biashara ya mtaji km mil 5 hv lakin nategemea bidhaa tokea china, sasa je kwa hali ya huu ugonjwa kwasasa maoni yako yapoje nifungue hautoniathiri maana pia najaribu kuwaza labda nishafungua alafu yanatokea km yale ya china wote tunafungiwa ndani then pesa ushanunua bidhaa na kukodi fremu hii mbona km itanigharimu, kwa hiyo hapa nipo dilemma
Naomba msaada wako wa kimawazo tafadhari.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo pesa umezipataje mkuu mbona hujui Cha kufanyia?Nakushauri uendelee kufanya ulichokuwa unafanya mwanzo mpaka ukabahatika kupata hizo pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…