Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Data za wachina zina viashiria vyote vya kupikwaItaly hali mbaya, wajifunze kwa wachina wanacontrol vipi kasi ya maambukizi, Wachina population yao 1.4B lakini maambukizi yao Hayakuwahi kufika kwenye 4digit kwa siku.
Sasa Italy yenye population 60.4M wanapata maambukizi makubwa kiasi hiki kwa siku hii ni Hatari sana.