Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

UPDATE: Uhispania

Visa vipya 415 pamoja na vifo vipya vitano (5) vimeripotiwa nchini Uhispania na kufikisha jumla ya visa 1,646 huku wagonjwa wapatao 11 wakiwa katika hali mbaya zaidi na wengine 32 wakiripotiwa kupata nafuu.

Idadi ya vifo nchini humo vinavyohusishwa na ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) imefikia 35 hadi hivi sasa.
 
Kila mtu anang'ang'ana eti corona ikifika Afrika tutakufa wote mara ikifika Bongo tumekwisha, hivi nani kawadanganya hivyo, huo ugonjwa sisi hautuhusu kabisa tunaulazimisha tu bongo.

Huku Afrika utakuwa unawachambua wanaohusika tu. Labda na wale waliojichubua ngozi waanze kuchukua tahadhali. Kinga zao ziko chini sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MPYA: Wizara ya afya ya China imeripoti visa vipya 24 pamoja na vifo vipya 22 nchini humo.

Hadi hivi sasa nchini China;
  • Visa 80,778 vimethibitishwa
  • Vifo 3,158 vimethibitishwa
  • 4,492 wako katika hali mbaya zaidi
  • 61,475 wamepata ahueni
 
MPYA: Korea Kusini imethibitisha visa vipya 242 sanjari na vifo vipya sita (6) nchini humo.

Hadi hivi sasa nchini Korea Kusini;
  • Visa 7,755 vimethibitishwa
  • Vifo 60 vimethibitishwa
  • 36 wako katika hali mbaya zaidi
  • 288 wamepata ahueni
 
NEWS ALERT: UK health minister diagnosed with coronavirus

U.K. Health Minister Nadine Dorries became the first British MP to test positive for the coronavirus on Tuesday and is recovering at home.

1583895102565.png
 
UPDATE: Visa vya kwanza vya COVID-19
  • Kisa cha kwanza (1) kimeripotiwa nchini Jamaica
  • Kisa cha kwanza (1) kimeripotiwa nchini Uturuki
  • Visa vya kwanza viwili (2) vimeripotiwa nchini Bolivia
 
UPDATE: Iran

Visa vipya 881 pamoja na vifo vipya 54 vimeripotiwa nchini humo ambavyo ni vifo vingi zaidi kuripotiwa nchini humo ndani ya siku moja.

Idadi ya visa vyote ni 8,042 na vifo vikiwa 291 mpaka sasa huku wagonjwa waliopata nafuu wakifikia 2,731.
 
Back
Top Bottom