Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NEWS ALERT: Safari za ndege zasitishwa
Uingereza: Shirika la ndege la Uingereza, British Airways, limesitisha safari zake za Italia baada ya nchi hiyo kuwekwa kizuizini hadi mwezi Aprili ili kukabiliana na virusi vya Corona.
Israel: Shirika la ndege la Wizz Air limesitisha safari zake kati ya Israel na Italia ikiwa ni hatua ya kuzuia kuenea kwa maambukizi ili kukabiliana na virusi vya Corona
Denmark: Waziri mkuu wa nchi hiyo Mette Frederiksen ametangaza kusitishwa kwa safari za ndege kuingia nchini humo kutoka katika mataifa yaliyoathirika zaidi kama vile Italia, Iran na Korea Kusini.
Uhispania: Serikali imetangaza kusitishwa kwa safari za ndege za moja kwa moja kutokea nchini Italia kwa muda wa wiki mbili ili kuzuia kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona.
Ureno: Serikali imetangaza kusitishwa kwa safari za ndege za abiria za kwenda na kutokea Italia kwa muda wa siku 14 kuanzia Jumatano ikiwa ni hatua mojawapo ya kuzuia kuenea zaidi kwa maambukizi ya virusi vya Corona nchini humo.
Canada: Shirika la ndege la nchi hiyo, Air Canada, limesitisha safari zote za kwenda na kutokea Italia hadi mwezi Mei kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona.
MPYA: Korea Kusini imethibitisha visa vipya 242 sanjari na vifo vipya sita (6) nchini humo.
Hadi hivi sasa nchini Korea Kusini;
- Visa 7,755 vimethibitishwa
- Vifo 60 vimethibitishwa
- 36 wako katika hali mbaya zaidi
- 288 wamepata ahueni
Korea Kusini na Urusi tayari zimekwisha ripoti visa vyao.hivi korea kusini na russia hili janga limewapita kushoto ama ndio wanasiasa wanaruhusu kutolewa kwa habari wanazozitaka wao tu?
😂😂😂😂😂😂[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]View attachment 1385942
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]View attachment 1385942
Sent using Jamii Forums mobile app
yapIs China downplaying its numbers?