Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Data za wachina zina viashiria vyote vya kupikwa
 
Yes ni kweli ukizingatia kwamba hali ya bishara kwa Sasa ni kama kubahatisha mkuu
 
UPDATE: World
  • 110,011 confirmed cases so far
  • 3,828 confirmed deaths so far
  • 62,225 in serious/critical condition
  • 43,958 unresolved
 
UPDATE: Wizara ya afya ya China imeripoti visa vipya 40 sanjari na vifo vipya 22 nchini humo. Jumla ya visa 80,735 vikiwemo vifo 3,119 vimekwisha ripotiwa nchini humo hadi sasa.
 
NEWS ALERT: Almost 100 countries and territories have now confirmed coronavirus cases, and dozens of deaths have occurred in Italy, Iran & South Korea. Italian authorities have placed much of the north of the country on lockdown, affecting nearly 15 million people. [CNN]
 
NEWS ALERT: Wuhan doctor Zhu Heping, colleague of virus whistleblower Li Wenliang, dies from coronavirus. [Global Times]

 
NEWS ALERT: U.S. Senator Cruz self quarantines after contact with coronavirus carrier. [Reuters]

 
UPDATE: India

Idadi ya visa vyote imefikia 40 hadi sasa huku wagonjwa watatu (3) wakiripotiwa kupata ahueni.

Hakuna ripoti ya kifo chochote kilichotokana na COVID-19 mpaka sasa nchini humo.

Pia, nchi hiyo imeweka zuio la meli zote za kigeni kutia nanga katika bandari zake.
 
UPDATE: Ujerumani

Jumla ya visa 1,040 vimethibitishwa hadi sasa nchini humo huku wagonjwa 18 wakipata ahueni.

Mpaka sasa, hakuna ripoti ya vifo kutokana na COVID-19 nchini humo.

Serikali ya nchi hiyo imeahidi kuzisaidia kampuni zilizoathirika kutokana na janga la Corona huku pia ikiutaka umma kusalia majumbani mwao.
 

wachina wanapika data mkuu......china hali ni mbaya sana
 
Mwenye anaejua namna yakutuma official letter anielekeze maana nataka kutuma barua kwachama chasoka cha F.A Waache Upuuzi Wao wasimamishe epl banaaaakh[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…