Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

UPDATE: Uhispania

Visa vipya 87 sanjari na kifo kipya (1) kimeripotiwa nchini Uhispania.

Mpaka kufikia sasa, jumla ya visa 3,146 pamoja na vifo 67 vimeripotiwa nchi nzima.

Mfalme Felipe pamoja na baraza zima la mawaziri wafanyiwa vipimo vya COVID-19.

Klabu za soka pamoja na mpira wa kikapu za Real Madrid zawekwa karantini baada ya mchezaji wake mmoja kubainika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona.

Mechi za soka za ligi kuu pamoja na ligi ya pili zasogezwa mbele kwa muda usiopungua wiki mbili kutokana na kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona nchini humo.
 
Virusi hatari kwa sasa Dunian maarufu kama Corona Virus vimetinga Ulaya kwa kuwashambulia Makocha na wachezaji Athari pia imeonekana kwa Viongozi na taasisi mbalimbali
20200313_091206.jpeg
20200313_090945.jpeg
IMG-20200313-WA0014.jpeg
20200313_080001.jpeg
IMG-20200313-WA0015.jpeg
Screenshot_20200312-143821.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
NEWS ALERT: King Felipe tested as coronavirus spreads through Spain. Senior ministers in quarantine while PM announces emergency measures. [FT]

1584080768413.png
 
Majibu ya Mfalme wa Spain pamoja na Malkia wake yanasubiriwa.

Hivi karibuni Malkia alikutana na kiongozi mmoja wa kiserikali ambaye tayari alikuwa na COVID-19.
 
Huko Ulaya naona maambukizi yanakuwa kwa watu maarufu tu.

Wapo ambao siyo maarufu isipokuwa ukiwa maarufu ni rahisi mno kutangazwa unao.hao maarufu ndiyo wachache sana walioambukizwa.Ni kama vile wao wanawekwa zaidi ukurasa wa mbele wa magazeti kutokana na kujulikana kwao.ila tuombe Mungu atuepushe hili balaa.
 
Taarifa zisizo rasmi zinadai wanajeshi takribani 180 wa Korea Kaskazini wamekufa kutokana na virusi vya Corona katika mwezi wa Januari na Februari huku wengine maelfu wakiwa karantini.

Serikali bado haijatoa ripoti yeyote ile kuhusiana na visa wala vifo nchini humo.
 
Ni Tanzania nzima nadhani.. Huku kaskazini pia wamezuia
Mwanza wamezuia, kuchovya maji ya baraka wakati kuingia na kutoka kanisani, kupokea kwa kukinga mdomo, wanataka tutumie njia ya kupewa mkononi na hilo la kutakiana amani kabla ya mwanakondoo.
 
NEWS ALERT: Hundreds of North Korean soldiers have reportedly died from the coronavirus and thousands of others are being quarantined.

According to Daily NK, a South Korean news organisation, the Covid-19 virus killed 180 North Korean soldiers in January and February and has sent another 3,700 into quarantine. And according to South Korea's government-backed Yonhap News Agency, almost 10,000 people have been quarantined over coronavirus fears, but nearly 4,000 have been released since they did not present symptoms. [SCMP]
 
NEWS ALERT: Kim Jong Un 'flees North Korean capital to escape coronavirus'

Kim Jong Un has fled the North Korean capital for the coast in a bid to escape coronavirus, an insider has claimed.

A source in South Korea said the Supreme Leader fled Pyongyang for Wonsan on the nation's east coast amid growing fears over the virus.

'Intelligence analysis suggests that Kim Jong-un has been away from Pyongyang for a considerable time,' the source told Chosun Ilbo. 'This appears to be connected with the coronavirus outbreak.'

It comes amid reports that roughly 180 soldiers have died after contracting COVID-19 in the secretive state. [Daily Mail]
 
Back
Top Bottom