Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

MPYA: Afisa mmoja wa karantini wa wizara ya afya nchini Japan amebainika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona. Wizara ya ulinzi nchini humo imethibitisha.

NEWS ALERT: Quarantine officer of Japan's health ministry diagnosed with coronavirus, defense minister says.

Quarantine officer infected with coronavirus was carrying out an inspection of the "Diamond Princess" cruise ship near Tokyo [NHK]
 
NEWS ALERT: Patients who test positive for the Coronavirus but have no symptoms are no longer be regarded as confirmed.
 
MPYA: Wizara ya afya ya nchini China imetangaza visa vingine 377 pamoja na ongezeko la vifo vitatu (3).

China's National Health Commission reports 377 new cases of coronavirus and 3 new deaths.
 
Shirika la afya duniani WHO limesema kuwa Korea Kaskazini haijaripoti visa vyovyote vile vya virusi vya Corona.

NEWS ALERT: W.H.O. says the North Korean government has not reported any confirmed cases of coronavirus. [VOA]
 
NEWS ALERT: President Trump said coronavirus will be gone by April when the weather gets warmer. [USA Today]
Mkuu hii kauli tunaitofautishaje na kauli ya Bashite wakati wa sakata la kutekwa kwa Roma?.
Alisema Roma ataonekana kabla ya siku Fran, na kweli ikwa ndo hivyo.
[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii kauli tunaitofautishaje na kauli ya Bashite wakati wa sakata la kutekwa kwa Roma?.
[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii kauli tunaitofautishaje na kauli ya Bashite wakati wa sakata la kutekwa kwa Roma?.
Alisema Roma ataonekana kabla ya siku Fran, na kweli ikwa ndo hivyo.
[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
Trump ni msemaji sana. Hata hivyo kauli hiyo ya Trump si ya kupuuzwa.

Katika baadhi ya tafiti zilizofanywa hususani kuhusu baadhi ya maradhi yanayosababishwa na virusi ambayo yalisumbua miaka ya nyuma kama vile SARS n.k., hali ya hewa huchangia kwa kiasi fulani kueneza zaidi ama kupunguza kuenea kwa maambukizi.

Inaelezwa kuwa, maambukizi yanaweza kuongezeka zaidi wakati wa hali ya hewa baridi na kupungua wakati wa joto hususani jua kali.

Licha ya hivyo, kirusi hiki kipya cha Corona bado kingali kikichunguzwa na kufanyiwa utafiti maabara ili kuweza kubaini tabia zake na masuala mengine hadi kufikia kupatikana kwa dawa na chanjo dhidi ya kirusi hicho.

Mpaka sasa, a little is known kuhusiana na kirusi hiki.
 
Back
Top Bottom