Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Mmh
Screenshot_20200214-070625.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thamani ya binadamu mmoja ni kubwa sana, japo Serikali ya China upo uwezekano wa kuficha taarifa sahihi kupunguza tension ya kiuchumi.
Tushukuru dunia na mifumo ya wazi chinise ya zama za giza wangeweza hata kuwaua waliothibitika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetoka supermarket nimekutana na wachina wawili,mmoja kavaa mask ;
kila nikimkwepa namkuta mbele..nikawahi njia ingine niende bakery mbele namkuta anashika mikate nnayopenda
Nimechukua nikaondoka fasta sana ila niko kwny sala Mungu atuepushie mbali hili janga Amen
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Misri imeripoti kisa cha kwanza cha COVID-19 nchini humo.

Hiki ni kisa cha kwanza kuripotiwa barani Afrika.
 
Kisa kimoja kilichoripotiwa nchini Misri ni mgeni aliyeingia nchini humo hivi karibuni na asiyeonesha dalili zozote zile za COVID-19.
 
FAHAMU: Mikoa iliyoathirika zaidi na virusi vya Corona nchini China.

Chinese provinces which are most affected by coronavirus: 14 February 2020.

MAINLAND CHINACasesDeathsNotes
Hubei province
(includes Wuhan)
51,9861,3187,953 serious, 1,685 critical
Guangdong province1,261272 serious, 37 critical
Henan province1,1841149 serious, 34 critical
Zhejiang province1,155051 serious, 30 critical
Hunan province988255 serious
Anhui province934611 critical
Jiangxi province900157 serious
Jiangsu province59306 serious, 4 critical
Chongqing532527 serious, 24 critical
Shandong province523216 serious, 10 critical
Sichuan province463117 critical
Heilongjiang province4181161 serious
Beijing3723
Shanghai318111 serious, 6 critical
Tianjin1203
Other regions2,11215
TOTAL63,8591,381
 
China bara:
  • Wagonjwa 10,216 wapo katika hali mbaya zaidi
  • Wagonjwa 6,723 wamepata nafuu
  • Wengine takribani 10,109 wanashukiwa kuwa na ugonjwa huo
 
BREAKING: Hubei imetangaza vifo vipya 139 pamoja na visa vipya 2,420 vya COVID-19.
 
UPDATE: Ripoti ya leo inapelekea ongezeko la visa vyote ulimwenguni kufikia 66,887 huku idadi ya waliokufa kutokana na COVID-19 ikifikia 1,523.

Takwimu hizo ni kwa mujibu wa ripoti rasmi.

Je, hali halisi ikoje?
 
Back
Top Bottom