Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

UPDATE: Kifo cha kwanza barani Ulaya.

Ni mtalii wa Kichina (80) aliyeingia nchini Ufaransa mnamo Januari 16 akitokea Hubei nchini China.

Wizara ya afya ya Ufaransa imethibitisha.

====

First death confirmed in Europe.

A Chinese tourist has died in France after contracting the new coronavirus - the first fatality from the disease outside Asia.

The victim was an 80-year-old man from China's Hubei province, according to French Health Minister Agnès Buzyn.

He arrived in France on 16 January and was placed in quarantine in hospital in Paris on 25 January, she said.

Only three deaths had previously been reported outside mainland China - in Hong Kong, the Philippines and Japan.
However, more than 1,500 people have died from the virus within China, mostly in Hubei where it first emerged. [BBC]

Inaelekea hilo jimbo la hubei limepigwa kweli kweli na hili janga kuliko tunavyodhania
 
Kwanini washukiwa wa virusi vya Corona wanawekwa karantini siku 14 wakati kuna baadhi ya visa ambapo vipimo vilionesha maambukizi baada ya siku zaidi ya hizo 14 na wengine mpaka siku 24?

Hili linahitaji uangalizi wa kina.
 
UPDATE: Outside China

Hong Kong | Taiwan | Macau


REGIONSCasesDeathsNotes
Hong Kong5615 critical, 2 serious, 1 recovered
Taiwan1801 recovered
Macau1001 recovered
TOTAL8417 serious
 
UPDATE: International

INTERNATIONALCasesDeathsNotes
Japan338*19 serious, 4 recovered
Singapore7206 critical, 18 recovered
Thailand3402 serious, 14 recovered
South Korea2809 recovered
Malaysia2207 recovered
Australia15010 recovered
Germany1603 recovered
Vietnam1607 recovered
United States1503 recovered
France1214 recovered
United Kingdom908 recovered
Canada801 recovered
UAE801 serious, 3 recovered
Philippines312 recovered
India303 recovered
Italy302 serious
Russia202 recovered
Spain202 recovered
Nepal101 recovered
Cambodia101 recovered
Sri Lanka101 recovered
Finland101 recovered
Sweden10
Belgium101 recovered
Egypt10
TOTAL613320 serious/critical
 
UPDATE: Mainland China

MAINLAND CHINACasesDeathsNotes
Hubei province
(includes Wuhan)
54,4061,4578,276 serious, 1,876 critical
Guangdong province1,294268 serious, 35 critical
Henan province1,2121338 serious, 38 critical
Zhejiang province1,162050 serious, 29 critical
Hunan province1,001253 serious
Anhui province950614 critical
Jiangxi province913163 serious
Jiangsu province60406 serious, 4 critical
Chongqing538531 serious, 19 critical
Shandong province532217 serious, 11 critical
Sichuan province470117 critical
Heilongjiang province4251160 serious
Beijing375421 critical
Shanghai326112 serious, 5 critical
Tianjin1213
Other regions2,16715
TOTAL66,4961,52311,053 serious
8,096 recovered
8,969 suspected
 
UPDATE: Meli ya Diamond Princess

Watu wengine 67 zaidi wamethibitika kuwa na maambukizi katika meli hiyo iliyopo Yokohama, Japan. Idadi ya jumla ya wenye maambukizi katika meli hiyo hivi sasa imefikia 285.

1581805125999.png
 
Kitendo cha wachina kufungia watu majumbani bila kupita nyumba kwa nyumba na kuisolate cases kutasababisha familia nzima zenye mtu mmoja mmoja mwenye virusi kuambukiza familia nzima
 
BREAKING: Hubei imeripoti ongezeko la vifo 139 pamoja na visa vipya 1,843 mkoani humo.
 
UPDATE: Idadi ya waliokufa kutokana na virusi vya Corona (SARS-CoV-2) yafikia 1,666.

Idadi hiyo ni kwa mujibu wa ripoti rasmi.

Je, hali halisi iko vipi?
 
CORONAVIRUS LATEST:
  • 139 new deaths reported in Hubei province, the same number as the day before
  • WHO says the virus path is 'impossible to predict'
 
CORONAVIRUS LATEST:
  • 139 new deaths reported in Hubei province, the same number as the day before
  • WHO says the virus path is 'impossible to predict'

Sasa hao ni wanaofia mahospitalini, vipi wale wanaofia majumbani ambao hawakupelekwa hospitali kutokana na hospitali kuwa overwhelmed au kutokana na logistics za kwenda huko kuwa ngumu?
 
UPDATE: Meli ya Diamond Princess

Watu wengine 70 waliokuwa katika meli hiyo wamebainika kuwa na virusi vya Corona hivyo kuongeza idadi ya walioambukizwa katika meli hiyo kufikia 355 mpaka sasa.

Kwa mujibu wa shirika la habari la Japan, NHK, jumla ya wasafiri 1,219 wamekwisha kufanyiwa vipimo mpaka sasa kati ya wasafiri wote takribani 3,700.

1581841745502.png
 
Back
Top Bottom