MarkHilary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 1,813
- 2,188
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Visa vipya vimepungua , afadhaliBREAKING: Wizara ya afya ya China imeripoti vifo vipya 109 pamoja na visa vipya 397 nchini humo.
Takwimu hizo ni pamoja na mkoa wa Hubei.
Lebanon na Israel imeingia huko,wakati Irani inazidi kupamba Moto...
Sent using Jamii Forums mobile app
UPDATE: Korea Kusini
Visa vipya takribani 142 vimeripotiwa nchini humo na kufikisha jumla ya visa 346.
South Korea reports 142 new cases of coronavirus, raising country's total to 346
This includes:
- 92 new cases linked to hospital
- 38 new cases linked to church
- 12 new cases unknown
Sidhani kama huu ugonjwa unafanana na hayo magonjwa mengine tuliyoyazoea ya mafua
Nahisi kama wa US waisha fanza Yao Vle MKUU Ama Unahisi vp ?!Hadi sasa
Iran wamekufa watu 5 kwa Corona na maambukizi yamefikia 28
Kuna uwezekano yakaongezeka zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama atakuwa na Corona, TUMEKWISHAAA!!!
Let's hope kuwa mgonjwa huyo yupo salama.oooh ! hii comment sikuwa naitaka
hatari sasa inanyemelea tangu febuary 13 leo feb 21 inamaana wiki nzima kausambaza dah !!
hiyo habari Mbaya leo nimeswari IJUMAA nimeomba sana Heri inipate mm kuliko mwanangu nawaza sana mwanangu
7bu hilo janga likiingia AFRICA ni kifo tuu hatari kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipimo vyake vya mara ya mwisho vilionesha negative, ila kama nilivyosema hapo awali kuwa majibu ya vipimo alivyofanyiwa yana utata.Wa Egypt vipi majibu yametoka?
Vimepungua kwa kiasi fulani nchini China ukilinganisha na hapo awali (kwa mujibu wa takwimu rasmi) lakini nje ya China hali ni tofauti kidogo.
Shukrani nawe pia kwa kuendelea kufuatilia taarifa hizi.Asante sana mkuu
Waga hulali mkuu???
Maana tunafrahia sana update zako especially mimi na pia afya yako ni ya maana zaid
Sent using Jamii Forums mobile app