Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

[emoji51][emoji51][emoji51]
voanews_B89NjF2Acuq.jpeg
 
Kumekuwepo video ikisambaa katika mitandao mbalimbali ya habari na kijamii ikionesha kile kinachodaiwa kuwa ni aina mpya ya salamu nchini Iran ikiwa ni njia mojawapo ya kujikinga kutokana na kuzuka kwa maambukizi ya virusi vya COVID-19 nchini humo.

Je salamu ya aina hii iko salama kiasi gani dhidi ya virusi vya Corona?

Nashindwa kabisa kuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
ila hao walokutwa na VIRUS wameingia toka IRAN inamaa wamepimwa uwanjani hawajaingia mitaani Oman so labda ndo tutapata majibu
mana shida inakuja walivyokuwa kwenye ndege hiyo si kausambaza na huyu mjomba kwa mujibu wa utafiti yeye akikupata leo na leo hii unaanza ambukiza wenzio dah hatari kubwa sana yaan

Yaani hata kukaa kwenye kiti alichokalia muathirika wa Corona unapata!!!?

Hii hatari sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NEWS ALERT: Kuwait bans all flights to and from Iraq due to coronavirus, says foreigners who were recently in Iraq will be denied entry.
 
UPDATE: Hispania imeripoti kisa cha tatu cha COVID-19 nchini humo. Kisa hicho ni daktari kutokea nchini Italia.
 
FAHAMU: Italia ni nchi ya tatu duniani kwa kuwa na visa vingi zaidi hadi sasa baada ya China yenye visa 77,345 na Korea Kusini yenye visa 833.

Mpaka hivi sasa, idadi ya visa vyote nchini Italia imefikia 229 huku 23 kati yao wakiwa mahututi.

Idadi ya vifo kutokana na virusi vya COVID-19 nchini Italia imefikia saba (7) huku mgonjwa mmoja akipata nafuu na kuruhusiwa kutoka hospitalini.
 
Back
Top Bottom