Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

UPDATE: Korea Kusini

Visa vipya 334 vimeripotiwa nchini humo na kufikia jumla ya visa 1,595.

Kifo kipya (1) kimeripotiwa nchini humo na kufikisha jumla ya vifo 13 hadi sasa.

Mazoezi ya kijeshi kati ya nchi hiyo na Marekani yaliyopangwa kufanyika hivi karibuni yameghairishwa mpaka hapo baadaye kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona nchini humo.
 
UPDATE: Wizara ya afya ya China imeripoti visa vipya 433 pamoja na vifo vipya 29 nchini humo.

Ongezeko hilo linapelekea idadi ya visa vyote ulimwenguni kufikia 82,147 huku idadi ya vifo vyote kutokana na virusi vya Corona ikifikia 2,772 duniani kote kwa mujibu wa takwimu rasmi.
 
Asante kwa update mkuu. Hivi kwa level ya janga China inaweza kuwa imeomba msaada WHO ,hivyo tukapata takwimu sahihi? Kuna mahojiano na mchina USA, kasema hali ni mbaya sana China maambukizo na vifo yapo digit za million

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli hizi habari nimezisikia. Inadaiwa idadi ya vifo ni kubwa mnoo japo china imekua ikitoa takwimu ndogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani mmepata JIBU
Kwanini marekani anamuogopa muajemi.
inaweza kuw kweri 7bu iran atataka haioneshe dunia anaweza halafu dawa ikiwa confmed anaweza azisha propaganda marekani ndo kasambaza makusudi
ili tu apatwe kuungwa mkono na mataifa mengi
na hata km bado atapigana kufapona apate dawa ili ajiongezee credit sasa hiyo itakuwa manufaa kwetu sisi maskini afrcakabla ugonjwa haujafika papa mapao hapo sasa iran ndo anapataka kuoneshana umwamba

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Denmark's first case of coronavirus

Denmark's TV2 says one of its reporters has tested positive for coronavirus after going on holiday in northern Italy. He developed symptoms on Wednesday morning.
 
UPDATE: Korea Kusini

Visa vipya 334 vimeripotiwa nchini humo na kufikia jumla ya visa 1,595.

Kifo kipya (1) kimeripotiwa nchini humo na kufikisha jumla ya vifo 13 hadi sasa.

Mazoezi ya kijeshi kati ya nchi hiyo na Marekani yaliyopangwa kufanyika hivi karibuni yameghairishwa mpaka hapo baadaye kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona nchini humo.
mwamba hongera sana kwa kazi ya kutuhabarisha ila samahani ningependa kufahamu izi taarifa huwa unazipata wapi na kuhakikisha kuwa ni za kweli
 
Wachina wanaoingia Tz ni wengi zaid ila mamlaka husika hawasemi, Bora Kenya wameitangazia dunia, hiyo Ndege ingetua KIA wala msingesikia habari yeyote
Nimejaribu kutafakari nimekosa majibu kwann wakenya wanataka kuhatarisha maisha yetu jamani hv umoja wa east africa hawaliona hili au

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Algeria

Serikali ya nchi hiyo imesema haina mpango wa kuzuia maandamano ya umma au kusitisha safari za ndege kwenda Italia, baada ya nchi hiyo kuripoti kisa cha kwanza cha Corona kwa mwanaume ambaye ni raia wa Italia.

Mkurugenzi wa kuzuia na kupambana na magonjwa ya kuambukizi nchini Algeria, Djamel Fouar amesema maafisa wanawafuatilia kwa karibu watu wote waliokuwa na mawasiliano na mtu huyo mwenye umri wa miaka 61. [DW]
 
Nimeshangaa kuna watu wamekupa like aisee.

We kama umechoka kuishi ni wewe peke yako tu.
Corona virus imechelewa Sana kufika Africa.. tunaisubiri kwa hamu ituue sote sisi kizazi kilichofeli ili Kianze kizazi kipya chenye mawazo mapya.

Please Corona virus clear this unsophisticated generation to make way for the smart generation.

Take us to the finish line virus.

Don't worry we are waiting patiently for your visitation.

Love.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom