Hakika mkuuKumekuwa na taarifa nyingi sana kuhusiana na hili janga; uwepo wa visa, watu kushukiwa, watu kufa n.k. lakini mara nyingi taarifa hizo zimekuwa zikikanushwa.
Uwezo wa kubaini uwepo wa visa hivyo nchi nzima ni changamoto kubwa kwa mataifa mengi katika hatua za kukabiliana na COVID-19.
Kuchukua tahadhari ndiyo njia pekee inayobaki lakini bado pia kuna changamoto kubwa kuhusiana na hilo.
Kuna uwezekano huo wa kuwepo kwa visa na pia kinyume chake ingawa ni ngumu sana kusema kinyume chake kutokana na muingiliano wa kimipaka kati ya nchi na nchi, watu na watu, bado ni mkubwa.
Taarifa nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app