Mkuu FRANC THE GREAT umefanya kazi kubwa,nzuri na ya kutukuka sana ya kutupa taarifa mbali mbali ya nini kinachojiri kuhusiana na virusi vya korona tena kwa ufanisi mzuri tangu mwanzo.
Sasa basi binafsi yangu na kwa niaba ya wafuatiliaji wako,licha ya changamoto ya hapa na pale nakuomba uendelee kutuwekea updates ya nini kinachoendelea ili tuzidi kuhabarika na kupata elimu zaidi na zaidi ya nini kifanyike.
Natanguliza shukrani[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app