Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Wait a minute! Unajali maisha ya ndugu yako peke yake?[emoji2365] Watanzania wenzako vipi? Hili ni janga la dunia mkuu wanaokufa ni binadamu pia hata kama siyo ndugu zako. Tuachane ubinafsi ule uliopitiliza wa mwafrika.
Nimeshindwa tu kueleweka nia yangu ilikuwa kunukuu kauli ya mkuu wa mkoa alioitoa jana, kuionyesha kwamba viongozi wetu wanwaza nini kuhusu huu ugonjwa.
 
Yes sisi Tanzania we are very serious kuhusu Corona ila tunatumia Tanzanian approach.
Wengine wote wanao deal na Corona wanauhesabu ni ugonjwa wa kirusi, sisi tumekwenda a step further kwa kukishtukia kirusi cha Corona ni shetani disguised as kirusi, hivyo besides maelekezo yote ya kitaalam ya jinsi ya kujikinga, pia rais wetu Magufuli katumia affirmative approach ya kututaka tusitishike wala tusitishane na kwa vile tumegundua Corona ni shetani, pia tumetumia holistic approach kwa kumkabidhi shetani kwa kiboko ya shetani ambaye ni Mungu mwenyewe. And is working very perfectly. Tanzania bado hatuna any local to local transmissions.
We are the best.
P
 
Tumwombe Mungu na kumsihi katika Toba ya KWELI
 

Attachments

  • Screenshot_20200406-204651.png
    Screenshot_20200406-204651.png
    23.7 KB · Views: 1
Quaranteen inafanya kazi sana na ni muhimu mno la sivyo ulimwengu wote tungeugua na kufa.
 
Quaranteen inafanya kazi sana na ni muhimu mno la sivyo ulimwengu wote tungeugua na kufa.
Mbona ukimwi hamuweki karantini? Haya magonjwa yapo iliisha corona kinakuja kipindupindu tetekuwanga surua kifaduro mtafungia watu Hadi lini? Watu wanawe waende kazini
 
Mbona ukimwi hamuweki karantini? Haya magonjwa yapo iliisha corona kinakuja kipindupindu tetekuwanga surua kifaduro mtafungia watu Hadi lini? Watu wanawe waende kazini
Wewe mwenzetu ni "Alien" toka ulimwengu mwingine? Yaani unataka kusema kwamba Kipindupindu, UKIMWI na Corona vyote vina aina moja ya kirusi/Bakteria na vinaenezwa kwa mfumo mmoja?
 
Naomba nikumbushie vipaumbele vya Mamvi.

ELIMU,

ELIMU,

ELIMU.
 
Kwa hiyo Covid-19 imeweka kambi kwenye nchi zenye ustawi wa kiuchumi Duniani

Propaganda kupitia Sky news I mean za kuenezwa kuwa waliokufa wengi ni wamarekani weusi huu ni uzushi wa Wazungu kuwachafua Waafrika Kama kawaida yao huwa hawakubali kuwa chini

Kwa mantiki hiyo wazungu wako against nature lazima wawe karibu na mavumbi wasione vumbi Kama uchafu

Vumbi lina kinga zetu lina viumbe changamshi kwenye miili yetu .
 
Back
Top Bottom