Omeprazole si nzuri kwa mtu mwenye vidonda...Mimi ni victim wa ulcer pia nipo kwenye dozi Sasa..huyo mgonjwa wako awe makini sana na mambo muhimu haya
1. Aina ya vyakula, asitumie vyakula matunda yeyote yenye acid kwa Sasa mpaka amalize dozi mfno machungwa.
Pia vyakula kama
2. Dagaa
3. Maharage asitumie
4. Ale vyakula laini mf Mlenda
5. Awe makini sana na mda wa kunywa dawa kama alivyoandikiwa
Hizo dawa alizopewa zinaweza kumsaidia kabisa kama sio kupona kabisa
Mimi nilianza na dawa hizi
1. Sucrifil suspension
2. Trinidazol
3. Clarithomycin
!
Baadae nimebadirisha natumia HERIGO KIT kwan H. pylori hawakuisha na Sasa Niko fit kabisa na hali ilikua mbaya kabla ya Harpo, mpaka kukonda, kuchizi(kuweuka), kutoa kinyesi cha damu, ma kutapika
Yaani in short ale haswaaaa..menu nzuri hasa vyakula laini na awe committed kutumia hizo dawa