Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa aise kikubwa ni kujaribu, bila shaka utatuletea mrejesho baada ya kutumia.Amoxillin nimewahi kutumia, ila sina uhakika kama hao wenzake walikuwepo. Ngoja nijaribu kutumia hii kitu.
Kama umefuatilia vizuri maelezo, utajua hiyo dozi ni ya siku tano. Kuhusu madhara kwa mjamzito nisikudanganye sifahamu.hizo dawa dose yake ni siku ngap? na je hazna madhara kwa mjamzto?
hizo dawa dose yake ni siku ngap? na je hazna madhara kwa mjamzto?
Inawezekana pia, ila mimi niliandikiwa kama nilivyoiandika.Mkuu dawa ya pili baada ya caps. Amoxicillin, nafikiri itakuwa Ni Tab. Metronidazole 2x3
Amoxicillin haina shida lkn hyo metronidazole kaa nayo mbali kama umjamzitohizo dawa dose yake ni siku ngap? na je hazna madhara kwa mjamzto?
Nami nikumbuke kwenye ufalme wako plsNilikuwa natatizo hilo kwa mwaka miaka miwili lakini nimekuja kupona kabisa. Nipo job now nikifika home nitakutumia dawa nilizo tumia. Naamini utapona.
Dawa gani, mfano aliyoiandika jamaa, Metroprazole nimeitafuta ila sijaipata hadi sasaTuendelee na dawa tunazoshauriwa ila H.pylori si wakujivunia umepona ana kawaida ya kujirudia mara kwa mara ni mateso kwa kweli
Hiyo dawa Ni metronidazole (flagyl) mkuuAsante
Okay asante mkuuHiyo dawa Ni metronidazole (flagyl) mkuu