Nje ya Mada
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,399
- 490
HIV ni 10+ years, Kisukari 8+ yrs. Anatumia ARV ,na Sukari pia anatumia dawa....Kwa kesho nahisi kimoja kitapatikana ila cha OGD mpka jumatatu.
OGD haina shida sana, Ni H.Pylori infection tu hiyo inamsumbua.
Tofauti na dawa ulizoandika hapo mwanzo hakuwahi pewa dawa nyingine kwaajili ya ku-cover tatizo hili!?
Pole sana, Ukipata majibu ya kesho nijulishe.Sikumbuki vizuri maana some how inachosha sana,ila hizo dawa nilizosema nyingi alitumia wakati akiwa private pale muhimbili coz kila dawa tulikuwa tunanunua wenyewe ,now yupo kawaida kwahiyo kuna dawa nyingine sijui alizotumia,ila madawa ni mengi sana aliyotumia na karibu kila siku walikuwa wanabadilisha, kwangu nina phamarcy ndogo...
Pole sana, Ukipata majibu ya kesho nijulishe.
Jitahidini kuzingatia usafi na lishe/mlo uliokamilika.
Mpe "heligo kit" kwa mda wa wiki moja
Asante Mkuu,hii ndo alitoka kumaliza last week baada ya siku 3 akaanza kutapika tena.....
Omeprazole si nzuri kwa mtu mwenye vidonda...Mimi ni victim wa ulcer pia nipo kwenye dozi Sasa..huyo mgonjwa wako awe makini sana na mambo muhimu haya
1. Aina ya vyakula, asitumie vyakula matunda yeyote yenye acid kwa Sasa mpaka amalize dozi mfno machungwa.
Pia vyakula kama
2. Dagaa
3. Maharage asitumie
4. Ale vyakula laini mf Mlenda
5. Awe makini sana na mda wa kunywa dawa kama alivyoandikiwa
Hizo dawa alizopewa zinaweza kumsaidia kabisa kama sio kupona kabisa
Mimi nilianza na dawa hizi
1. Sucrifil suspension
2. Trinidazol
3. Clarithomycin
!
Baadae nimebadirisha natumia HERIGO KIT kwan H. pylori hawakuisha na Sasa Niko fit kabisa na hali ilikua mbaya kabla ya Harpo, mpaka kukonda, kuchizi(kuweuka), kutoa kinyesi cha damu, ma kutapika
Yaani in short ale haswaaaa..menu nzuri hasa vyakula laini na awe committed kutumia hizo dawa
Anza na dozi iyo hapo juu atapona alafu HERIGO kit ni WK tatu mfululizo
Habari Mkuu ,leo nimefanikisha hicho hapo vingine mpka jumatatu....hivi hiki kipimo kwaajili ya nini kimenitoa knock out....