Sales93
Senior Member
- Mar 5, 2014
- 146
- 73
Ndio ndugu tunajaribu kupambana na hali zetu.Karibu Ndugu. mawazo mazuri chapa kazi panuka zaidi kifedha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ndugu tunajaribu kupambana na hali zetu.Karibu Ndugu. mawazo mazuri chapa kazi panuka zaidi kifedha.
Nataka kufungua maeneo ya Mombasa huku nimefanya research chakula migahawa mingi chakula chao hakina ubora. Na mwisho chakula hupatika ni saa tisa mchana baada ya hapo chipsi ndo nyingiUnafungua maeneo gan
Wewe mpuuzi lipa pesa yangu kwanza Acha utapeli.Habari za kazi waungwana...
Naomba kufahamishwa jinsi ya kupata nafasi ya kuuza vyakula katika vyuo vyetu mbali mbali hapa Dar es salaam..
Kwa anaye fahamu nini kinatakiwa kifanyike ili kupata nafasi ya kufanya biashara ya chakula anijuze tafadhali...
Natanguliza shukrani za dhati..
Hahahaaaaa.....!!!!Wewe mpuuzi lipa pesa yangu kwanza Acha utapeli.
Ila kama huduma kakupatia ni vizuri ukamlipa mkuu midhari kijana hajakaba wala kuiba mali ya mtu hiyo ni haki yake mkuu maana kwa ulivyojielezea hapa bado inaonyesha mlikubaliana kuingia huo mkataba.Hahahaaaaa.....!!!!
wewe kijana unahangaika kweli kweli badala ya kufanya kazi za halali upate pesa unakaa kufanya utapeli wako huo...
Nimekwambia mm sitaki hiyo huduma yako ya wizi utaniletea matatizo mm ni mtu mzima nina familia mkuu..
Nimekwambia nilikuwa sijakuelewa kama hizo huduma unazo fanya za kuwa unganishia vifurushi vya mb na dakika kuwa unafanya wizi...
umesema utanidisconect na hicho kifurushi cha chuo ulicho niunga, nimekwambia sawa, fanya hivyo haraka... ukasema utanichafua nisipo kutumia elfu tisa yako 9,000/=)..
Sasa kwann unanilazimisha kushiriki huo uovu unao ufanya kaka..!!
haya endelea kunichafua, ila kila utakapo pita niko nyuma yako kufafanua....
Mwanzo sikujua kama hizi dili zake ziko kiujanja ujanja..Ila kama huduma kakupatia ni vizuri ukamlipa mkuu midhari kijana hajakaba wala kuiba mali ya mtu hiyo ni haki yake mkuu maana kwa ulivyojielezea hapa bado inaonyesha mlikubaliana kuingia huo mkataba.
Sasa mkuu kama ulisema utamtoa si umtoe yaishe?wanaume tunamalizaga mambo kimya kimyaNikutoe halafu gharama za kuprocess nani anazilipa?. Nimekuuliza mara ngapi utayar wako wa huduma ukajibu sawa?. Acha utapeli lipa pesa
Kwahiyo yy alivyo yaleta huku ni mtoto wa kike au..?Sasa mkuu kama ulisema utamtoa si umtoe yaishe?wanaume tunamalizaga mambo kimya kimya
Siumlipe bro shida nini
Kwa maneno yako haya hata ww unajiharibia biashara yakoWewe mpuuzi lipa pesa yangu kwanza Acha utapeli.