Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

Hahaaaa! Wanatulisha vibudu hawa!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Aiseee bora wanilishe ya ngamia
Nmeshaila sana kw majiran
Zetu wakenya
 
Ungesema machinjion sawa
Ila kwa hyo bei buchan hata
Utoe machoz ya dam hupat

Hata machinjion labda
Kwa anaekujua
Nenda machinjioni uliza bei ya nyama. Hawa wanaouza 5000-6000 unafikiri wananunua bei gani machinjioni?
ni bei halali kabisa kwa kipindi hichi ila tu hubadilika kulingana na hali ya soko. Kama hauamini nenda kimara suka machnjioni waambie wakupatie nyama kilo kadhaa.ulete mrejesho.
 
Vifaa vya kuzingatia

Location iwe nzuri na palipotulia

Muhudumu mashaAllah


Mtaji usiwe chini ya laki nane

Viti,meza,vioo
Vinywaji
Kodi

invest what you are willing to loose
 
Wakuu habari,
Nahitaji eneo lenye ukubwa wa wastani ninaloweza kuanzisha biashara ya mgahawa kidogo kwa hapa DSM. Kama una eneo lako unaliuza unaweza kuni PM pia.

HINT: Nahitaji sehemu ambayo ina access na customers

Nawasilisha
 
pia mtangulize mola wako kwa sala na kuiombea biashara yako
 
maeneo yapo mkuu toa taarifa za kutosha tukusaidie 0657145555 mi dalali
 
Habari zenu wanajamvi, kwanza kabisa nachukua fursa hii kuwashukuru wanajamvi kwa mawazo yenu chanya ya kibiashara yaliyoniwezesha kuanzisha baadhi ya miradi ambayo mpaka sasa inaendelea vizuri.

Bila kuwachosha ngoja niende kwenye mada husika Kwa sasa ninataka kupanua miradi yangu na kuingia kwenye biashara ya chakula, yani mgahawa ambapo nitabase katika vyakula vya chips, ugali na wali pamoja na mboga tofauti tofauti, kwa upande wa eneo nafahamu ni kwamba panatakiwa kuwa na mzunguko wa watu km vile chuo au biashara tofauti tofauti.

Kwa mtu nayeanza ningependa kufahamu mtaji unaohitajika ili kuweza kuanzisha biashara hii(vifaa) , mauzo kwa siku,uendeshaji pamoja na changamoto zake.

NB:nataka niweke kijana wa chipsi na mabinti wawili wa chakula cha kawaida ila nitakwepo muda wote kusimamia shughuli za uendeshaji pia sehemu nategemea itakuwa ya kawaida yani sio ya mtaji mkubwa.
Asanteni
 
Back
Top Bottom