Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

Habari zenu wana jamvi mimi ni kijana mwenye miaka 29 nimeajiriwa katika kampuni binafsi nna mpango wa kufungua restaurant na kianzio cha mtaji wa shilingi milioni moja tatizo linakuja kwamba sina ujuzi katika mapishi ila nilisomea hotel management na nime base sana katika service kuliko jikoni.

Nahitaji kuwa share na mtu ambaye ni mtaalamu wa mapishi ili asimamie jikoni na mm nibaki katika service kwa yeyote aliye tayari naomba ani PM tuanzishe jahazi lisonge mbele.
 
Habari za kazi waungwana...
Naomba kufahamishwa jinsi ya kupata nafasi ya kuuza vyakula katika vyuo vyetu mbali mbali hapa Dar es salaam..
Kwa anaye fahamu nini kinatakiwa kifanyike ili kupata nafasi ya kufanya biashara ya chakula anijuze tafadhali...
Natanguliza shukrani za dhati..
 
Wewe mpuuzi lipa pesa yangu kwanza Acha utapeli.
 
Wewe mpuuzi lipa pesa yangu kwanza Acha utapeli.
Hahahaaaaa.....!!!!
wewe kijana unahangaika kweli kweli badala ya kufanya kazi za halali upate pesa unakaa kufanya utapeli wako huo...
Nimekwambia mm sitaki hiyo huduma yako ya wizi utaniletea matatizo mm ni mtu mzima nina familia mkuu..
Nimekwambia nilikuwa sijakuelewa kama hizo huduma unazo fanya za kuwa unganishia vifurushi vya mb na dakika kuwa unafanya wizi...
umesema utanidisconect na hicho kifurushi cha chuo ulicho niunga, nimekwambia sawa, fanya hivyo haraka... ukasema utanichafua nisipo kutumia elfu tisa yako 9,000/=)..
Sasa kwann unanilazimisha kushiriki huo uovu unao ufanya kaka..!!
haya endelea kunichafua, ila kila utakapo pita niko nyuma yako kufafanua....
 
Ila kama huduma kakupatia ni vizuri ukamlipa mkuu midhari kijana hajakaba wala kuiba mali ya mtu hiyo ni haki yake mkuu maana kwa ulivyojielezea hapa bado inaonyesha mlikubaliana kuingia huo mkataba.
 
Mzee ni tapeli sana lkn poa nachukua picha uliotumia kusajilia halafu utanijua
 
Ila kama huduma kakupatia ni vizuri ukamlipa mkuu midhari kijana hajakaba wala kuiba mali ya mtu hiyo ni haki yake mkuu maana kwa ulivyojielezea hapa bado inaonyesha mlikubaliana kuingia huo mkataba.
Mwanzo sikujua kama hizi dili zake ziko kiujanja ujanja..
Ila baada ya kujua haiko kihalali na inaweza niletea matatizo, na mm line yangu nimeisajili kihalali, nilimwambia anitoe kwenye hiyo huduma, akasema atanitoa kwenye hiyo huduma lakini ni baada ya kunichafua kwanza....
Pia amesema ataingilia mazungumzo yangu, nikamwambia sawa haina shida, afanye hivyo...
Ndio mana sijataka hata kujiunga na hiyo huduma tangia aniunganishe, anaweza kutrace akaona coz inaonekana yuko deep kwenye haya mambo...
 
Nikutoe halafu gharama za kuprocess nani anazilipa?. Nimekuuliza mara ngapi utayar wako wa huduma ukajibu sawa?. Acha utapeli lipa pesa
 
Naona mada inataka kwenda mrama. Niseme tusameheane kisha tusonge mbele. Kuhusu kupata nafasi ungefafanua vizuri! Unataka jengo la chuo la kuuzia chakula au unataka kuruhusiwa kuuza chakula?
 
Mambo ya kudaiana yaishie PM huko maana ndiko mlikokubaliana, maana hapo naona ngoma droo...wewe ni mwizi wa kimtandao na huyo mwingine ni tapeli sasa kisheria wote mnamakosa.
 
Back
Top Bottom