Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

Ndio sababu Kuna maelezo yanasema ukitaka kujua kiundani jiunge katika Watsap group. After all Kama utakua unalipia sehemu 5000 kwa siku nadhan una majibu ya jinsi umeme na miondombinu
Hivi kumbe kila siku unaweka mabandiko yako hapa ili tuvutike kuja huko kwa groups ?

Hongera sana kwa ubunifu wako Mkuu...
 
Ninavyo vya kwangu tayari... Tafuta kijana awe anakuketea hesabu.. wapo wengi Sana Mtaani ni wew TU kumpata Alie sahihi

Me naitaji wewe nikupatie pesa uongeze kibanda kingine ...then tuingie into contract namna ya ulipaji
 
wanafunzi siku hizi wanakula shuleni,hizo viepe mtamuuzia nani?
labda wanaume wa dar...
 
Nivoona pameandikwa mtaji mdogo nikajua mdogo mdogo ule mdogo yani mdogo
Kumbe mdogo laki nne na nusu na bado gharama hazijatimia khaaaaa
Maisha yenyewe hatuishi milele aaargh
 
Utamulipa shs ngapi?
 
Kazi ya kuuza chakura ukitaka ufanikiwe watumie wadada ndo kivutio tosha katika biashara ya mama ntilie kuhusu msimamizi tafuta mama mmoja mwaminifu na wadada kazaa
 
Ni PM mkuu tuongee kuhusu hii issue. We have common interest
 
Hujaweka wazi- wewe mwenyewe utakuwa hapo hapo kwenye biashara yako unayoplan kuianzisha au una majukumu mengine
 
@Benittoz unaweza kutuunga katika hilo group?
 
gud idea lakini hujafafanua vizuri, mfano changamoto zake, na je faida ipo vip ukitoa matuminzi?
 
Mkuu Bak..Naomba mrejesho wa uzi wako huu...

Je ulifanikiwa?
Umefikia wapi so far?
Ulikutana na changamoto gani na ulizisolve vipi?...Nataka kujikita huko lakini bado sijapata mwanga vizuri kuhusu baadhi ya vitu kwenye biashara hii

Natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…