Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

Ndio sababu Kuna maelezo yanasema ukitaka kujua kiundani jiunge katika Watsap group. After all Kama utakua unalipia sehemu 5000 kwa siku nadhan una majibu ya jinsi umeme na miondombinu
Hivi kumbe kila siku unaweka mabandiko yako hapa ili tuvutike kuja huko kwa groups ?

Hongera sana kwa ubunifu wako Mkuu...
 
Ninavyo vya kwangu tayari... Tafuta kijana awe anakuketea hesabu.. wapo wengi Sana Mtaani ni wew TU kumpata Alie sahihi

Me naitaji wewe nikupatie pesa uongeze kibanda kingine ...then tuingie into contract namna ya ulipaji
 
wanafunzi siku hizi wanakula shuleni,hizo viepe mtamuuzia nani?
labda wanaume wa dar...
 
Nivoona pameandikwa mtaji mdogo nikajua mdogo mdogo ule mdogo yani mdogo
Kumbe mdogo laki nne na nusu na bado gharama hazijatimia khaaaaa
Maisha yenyewe hatuishi milele aaargh
 
Wakuu Poleni na kazi .

Naomba niende kwenye mada rasmi, nimekuwa interested sana na hii biashara ya kuuza chakula (mgahawa) nimetumia Muda wangu mwingi kujipanga kwa capital na kujifunza zaidi juu ya hii biashara ,kwa sasa nipo tayari kuweza kurisk pesa yangu kwenye hii biashara , nimeshapata eneo LA biashara ni nzuri kwa kiasi flani, tatizo moja nimekosa msimamizi Wa kuweza kuiendesha tangu upishi had uuzaji , kama tunavyojua hii biashara asilimia kubwa inasimamiwa na wanawake, Mimi ni kijana sijaoa, nafikiri inabid nimpate MTU Wa mtaani , sasa ishu IPO kumpata mdada mwaminifu atakayeweza kufanya kazi kwa uamini na kuichukulia kama kazi yake , , naombeni ushauri wenu njia gan naweza kutumia Ili kumpata msimamiz mzuri atakayefanya kazi kwa Moyo wote na kwa uaminifu..
Nisaidieni kijana wenu hapa nawasilisha.
Utamulipa shs ngapi?
 
Kazi ya kuuza chakura ukitaka ufanikiwe watumie wadada ndo kivutio tosha katika biashara ya mama ntilie kuhusu msimamizi tafuta mama mmoja mwaminifu na wadada kazaa
 
Ni PM mkuu tuongee kuhusu hii issue. We have common interest
 
Hujaweka wazi- wewe mwenyewe utakuwa hapo hapo kwenye biashara yako unayoplan kuianzisha au una majukumu mengine
 
gud idea lakini hujafafanua vizuri, mfano changamoto zake, na je faida ipo vip ukitoa matuminzi?
 
Mkuu Bak..Naomba mrejesho wa uzi wako huu...

Je ulifanikiwa?
Umefikia wapi so far?
Ulikutana na changamoto gani na ulizisolve vipi?...Nataka kujikita huko lakini bado sijapata mwanga vizuri kuhusu baadhi ya vitu kwenye biashara hii

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom