Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

Ooohhhh okay, thanks

Ni mbinu nzuri ya biashara sema waswahili hatujui tu.

Hata magari unakuta Toyota. Anaotengeneza vioo wengine,matairi wengine,viti wengine
gearbox wengine na kadhalika, yeye anatengeneza kitu kimoja au viwili anaunga tu.

Ukijaribu fanya kila kitu unapoteza nguvu sana na mda na quality inakuwa sio ya uhakika.

Mwenzio akitengeneza mashati, wewe tengeneza vifungo, kila mtu anatazama quality ya bidhaa yake
 
Sahan, vifaa vyingene kwa ujumla bado.

Na sehemu ya biashara ni ya kukodi bajet yake imo umo umo kwenye m5.

Chief manager nataka kuwa mie mwenyewe. Ila itabidi nitafute ndugu kutokana na kukubali ushauri wa mdau mmoja apo juu.^

Nashukuru kwa mchango wako nimeupenda na kwa hakika nitayachanganua na kuyachuka yatakayo nifaa na kuyafanyia kazi.
 

Okay katika biashara hiyo, vitafunwa vinanunuliwa afu msosi unapikwa hapo hapo kweli inasave muda
 
Okay katika biashara hiyo, vitafunwa vinanunuliwa afu msosi unapikwa hapo hapo kweli inasave muda

That is the magic of doing a manufacturing business na hyo biashara ya restaurant ina nature hyo. Ni mbinu nzuri when ur trying to break in cz bado hauko stable. U can't do everything on ur own. Baadae sasa umeshaimarika na kujua ukuaji wa biashara yako, una tumia material zako mwenyewe una hire watu wafanye kazi kwa makubaliano flan in the long run uta reduce costs na risks pia.

Unaweza tumia vikundi vdgo vdgo vya wajasiriamali wadogo uka combine nguvu na maarifa yao wit ur capital uka run bonge moja la entreprise hence win/win to everyone kuliko ukianza from scratch.
 

I got it thanks
 

Ahsante boss
 
Naomba msaada wa ushauri biashara ya chakula yaani Mgahawa na chips pamoja na vinywaji inaweza kuhitaji gharama ya kiasi gani kwa wazoefu, msaada pliz.
 
Naomba msaada wa ushauri biashara ya chakula yaani Mgahawa na Chips pamoja na vinywaji inaweza kuhitaji gharama ya kiasi gani kwa wazoefu msaada pliz
Uko mji gani?
Unahitaji kuuza vyakula vipi?
Vinywaji gani utauza hapo?
Upatikanaji waviinywaji na chakula uko vipi?
Vitendea kazi vipi ungependa kuwa navyo kwenye mgahawa huo??
Unahitaji wafanyakazi wangapi?
Gharama za kukodi chumba / kujenga ziko vipi?
Upatikanaji wa vibari vya kazi je?

Gharama unazipata kwa kujiuliza maswali kama hayooooo
 
Natafuta Eneo zuri DAR ambalo naweza kuwekeza kwenye mgahawa wa chakula na kuchoma chips, Kuku, mishikaki n.k, naomba uniambie eneo unalolijua.
 
Jaribu kutembelea maeneo ya vyuo vituo vya vikuu vya daladala pia kwenye mabaa ambayo hawajapata mtu wa chakula; uvumilivu unatakiwa siku za mwanzo.
 
Habari wadau,

Napenda kuuliza hivi: Kuuza au biashara ya chakula inalipa au?

Naombeni mawazo yenu.
 
Wakuu habari za mchana,

Naomba kwa wajuzi na wazoefu wa biashara ya MGAHAWA wanipe msaada, nahitaji mchanganuo wa vitu navyotakiwa kuwa navyo, ili nianze mradi wa biashara ya mgahawa yaani reataurant ya chakula na vinywaji.

Naombeni na gharama ya vitu vinipasavyo, lengo ni kujua tathmini ya nijiandae kwa sh. ngapi ili kufanikisha hilo.

Asanteni naomba kuwasilisha mezani.
 
Ukitaka kuona wabongo tusivyojali mada za maana humu jf hii thread watajitokeza wachache tu kuongelea lakini kama zingekuwa stori za mambo ya ajabu ungekuwa na replies za kufa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…