Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

Good evening my guooys!!
Oooo
Helo mwana JF
Nataka kuanzisha mgahawa tafadhari mwenye uzoefu msaada kwa pm hata kwa malipo anisaidie jinsi navoweza kuanza Na Jinsi navoweza kupata faida

Hongera. Nenda kwenye mgahawa mkubwa jifunze kwa vitendo. Ila uhakika wa usafi, wafanyakazi ladha, muonekano na ubora wa chakula na lugha kwa wateja ndo uchawi wako mkuu

Hongera. Nenda kwenye mgahawa mkubwa jifunze kwa vitendo. Ila uhakika wa usafi, wafanyakazi ladha, muonekano na ubora wa chakula na lugha kwa wateja ndo uchawi wako mkuu

Good evening my guys!!

Ahsante wakuu
Ni biashara ya faida but ina risks nyingi

usafi

quality...ya chakula

location nzuri

Biashara ambao unapaswa kuwepo 24/7 ni mgahawa salooni yakike.Nilishawahi kuwa na mgahawa mabibo ila chakwanza lazima usimamie angalau ujue mzunguko unaenda je. Maana kadri unavyo zidi kuka kwenye hizo mbili ndo unapozidi kupata uzowef. Isitoshe una wa mold wafanyakazi maana huenda wenyewe hawana uzowef na hiyo kazi. Sasa wewe unakua mwalim wao. Mfano kukaribisha wateja, usafi wengine wavivu wanafanya kazi kama adhabu. Kwahiyo lazima upo mpendwa
 
mimi nadhani mobile restaurants ni nzuri sana kuliko ile ya kusubiria wateja...hii niliikuta sehemu...jamaa anakagari kake kule chakula kinapikwa nyumbani na kuweka plates za majiko ya gas kwenye gari lake hivyo chakula hakipoi....anaweza kwenda maybe kariakoo anaweka kambi anauza halafu anaondoka anaingia posta anauza anondoka...ndani ya muda mfupi anakua anauza chakula kingi na kwa faida kubwa sn...ila kwa ulivyoanzq nayo simbaya sn
 
Uzi waukweli, haya mambo naanza mapema tu asubuhi kukikucha
 
Mkuu naomba nielekeze namna unavoandika kwa wino wa rangi then unaback kwny wa kawaida then wa rangi etc, you have impressed broo hata meseji inavutia kusoma
 
Mgahawa ni risk sana, unatakiwa ubahatishe location nzuri, usafi na resonable price ya msosi...changamoto inayokuja ni gharama kubwa za kudesign restaurant yenye hadhi...!!! competition ya mama ntilie waliozagaa kila kona na misosi yao ya buku ni shida nyingine na mda wote wanawaza kwenda kwa mganga tuu wakuharibie...weather condition nayo huleta hasara sana mfano kipind cha mvua za asubuhi mpak jion hufukuza wateja...na hapo wafanyakazi wanataka chao, na vyakula vingi vikilala bila kuliwa ni mziki mwingine...Hii biashara stress sana...Faida utaipata ukipata location safi yenye watu wa mahofsini wengi (permanent customers) na msosi wako uwe wa ukweli with reasonable price... 24 hours uwe eneo la kazi...mana cashier akipiga hata 5000 umeumia
 
Je chakula huwa kinaisha? Au kinabaki?
Kama kinabaki bas jua kuna tatzo either mapishi ya chakula au location.
Kama kinaisha angalia bei unazinunulia wewe, kama unanunua kwa bei poa bas cheki na mwasibu wako vzr asje akawa anakuzunguka
 
Ndugu zangu naomba mwenye uzoefu wa biashara ya jiko ya kwenye baa faida zake na hasara pia
 
Habarini,

Kwa wanaofahamu na wenye uelewa na hii kitu naombeni mchanganuo wa hii biashara ya chakula kwa mgahawa wa kawaida inatakiwa uwe na shilingi ngapi?
 
Anha shukrani mkuu,ni mama ntilie kawaida naomba mchanganuo kwa hiyo Tsh150,000 na ukitaka kununua na vyombo ni sh ngap inatakiwa?
 
Kwanza mchele kilo 100
maharage kilo 50
mbuzi 5
ngano kg 50
sembe kg50
masufuria,sahan,vikombe vijiko,uma
viti vya plastic,meza

viungo,mbogamboga
viazi mbatata.

Kwa ufupi andaa milioni 3
 
Tatizo Watanzania wengi tukiambiwa before you go into business first Plan...sie tunaiga tu au akili za kuambiwa...mchanganuo unauomba Leo wakati huoni faida!! Umgeona faida ungekuwa kimya!!
Business plan ya mapema ingekupa details zote za biashara yako...yaani andiko hilo ni kama ramani na dira kwa MTU asiyejua anakokwenda!!
Tuache kudharau Huduma hizi za kuandikiwa michanganuo au kutofanya kisa gharama za mchanganuo?!! Yaani laki 2 ya mchanganuo ktk uwekezaji wako wa Tsh 2-10m unaona gharama?

Pole ndg, fuatilia hapa ushauri ukuokoe!!
 
Habarini,kwa wanaofahamu na wenye uelewa na hii kitu naombeni mchanganuo wa hii biashara ya chakula kwa mgahawa wa kawaida inatakiwa uwe na sh ngapi?
Mkuu hata laki moja unaweza kuanza cha msingi angalia sehem ulipo je kuna wateja?
 
Wakuuu hii biashara inalipa?natakaniianze pale ubungo
 
Biashara ya Mgahawa kwenye mzunguko mkubwa wa watu inalipa sana. Italipa zaidi kama manunuzi utafanya mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…