Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee Hili wazo limenikaa sana kichwani mwangu Ila nashindwa namna ya kuanzia....japo sijawahi kuifanya Ila ndiyo biashara ninayokaribia kuifanya.Katika uchunguzi wangu nimegundua siri 3 ya biashara Hii.
1)Usafi
2)Chakula kitamu
3)Bei cheap
4) Huduma nzuri kwa Wateja.
Ukicontrol hayo lazima utoboe.

Ni kweliAisee Hili wazo limenikaa sana kichwani mwangu Ila nashindwa namna ya kuanzia....japo sijawahi kuifanya Ila ndiyo biashara ninayokaribia kuifanya.Katika uchunguzi wangu nimegundua siri 3 ya biashara Hii.
1)Usafi
2)Chakula kitamu
3)Bei cheap
4) Huduma nzuri kwa Wateja.
Ukicontrol hayo lazima utoboe.
Hapana mkuu,mimi nikwambie tu kwamba hii biz ni nzuri sana ila wengi wanaofanya biashara hii huwa wanaanza vzr ila kadri siku zinavyokwenda anaharibu biashara kwa kuapply mazoea.Mwanzo huwa wanaanza kupika chakula kitamu na kumantain usafi ila kadiri wateja wanavyomiminika yeye hujisahau na kuleta mazoea.Mim simkatishi mtu tamaa ila hii biashara ni biashara ngumu sana, Utaianza vizuri haipiti miezi 6 ushaumia, labla usiwe na biashara moja, usiitengemee kama ndiyo biashara kuu inayo kuingizia hela
Location siyo ishu mkuu......zingatia hayo mambo manne,wateja watakufata popote ulipo...hakuna mtu anaependa kutoa pesa yake ili apate huduma mbovu,kila mtu anataka aone thamani ya pesa yake.....so utatafutwa na wateja popote hata kama umejificha,waliowahi kusema "Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza walikuwa na maaana hii".Well said ila na location mana unaweza kuwa na yote ila ukawa na location mbaya
Ulichosema Mkuu ni kweli KBS,,,has a sisi watz hatujiamini,,alafu hatuchelewi kujiinua badala ya kuiinua biasharaHapana mkuu,mimi nikwambie tu kwamba hii biz ni nzuri sana ila wengi wanaofanya biashara hii huwa wanaanza vzr ila kadri siku zinavyokwenda anaharibu biashara kwa kuapply mazoea.Mwanzo huwa wanaanza kupika chakula kitamu na kumantain usafi ila kadiri wateja wanavyomiminika yeye hujisahau na kuleta mazoea.
Haya ni miongoni mwa mambo yanayowakwamisha wanaofanya biashara hii:
(1)Ladha mbaya chakula-Huwa anachukulia kwamba wateja ni wengi na wanakuja wenyewe so kwasabbu hiyo huwa anapunguza ubora/ladha ya chakula kwa kudhani kwamba mbona wateja washanizoea wanakuja wenyewe.
(2)Usafi-Huwa wanadharau swala zima la usafi kitu amabcho ndo miongo mwa nguzo kuu za biashara hii......mtu anamtengea mteja chakula huku anavuja jasho au mikono yake imeloa maji na sehemu ya maji hayo yanabaki katika sahani ya chakula
(3)Huduma mazoea-Mbaya kuliko zote huwahudumia wateja kwa mazoea kwamba huyu mbona anakuja kila siku haina haja ya kumpapatikia.....anamuhudumia mteja wa kila siku kwa kumcheleweshea huduma,kumdharau na lugha mbaya.
(3)Bei kubwa-Wengi wao huwa wanataka faida kubwa kwa muda mfupi badala ya kutengeneza wigo mpana wa wateja kwa faida ndogo ila jioni faida ikawa kubwa ZAIDI.
NB:Business is Product,process and people.
DarUko mkoa gani,,
Hapana mkuu,mimi nikwambie tu kwamba hii biz ni nzuri sana ila wengi wanaofanya biashara hii huwa wanaanza vzr ila kadri siku zinavyokwenda anaharibu biashara kwa kuapply mazoea.Mwanzo huwa wanaanza kupika chakula kitamu na kumantain usafi ila kadiri wateja wanavyomiminika yeye hujisahau na kuleta mazoea.
Haya ni miongoni mwa mambo yanayowakwamisha wanaofanya biashara hii:
(1)Ladha mbaya chakula-Huwa anachukulia kwamba wateja ni wengi na wanakuja wenyewe so kwasabbu hiyo huwa anapunguza ubora/ladha ya chakula kwa kudhani kwamba mbona wateja washanizoea wanakuja wenyewe.
(2)Usafi-Huwa wanadharau swala zima la usafi kitu amabcho ndo miongo mwa nguzo kuu za biashara hii......mtu anamtengea mteja chakula huku anavuja jasho au mikono yake imeloa maji na sehemu ya maji hayo yanabaki katika sahani ya chakula
(3)Huduma mazoea-Mbaya kuliko zote huwahudumia wateja kwa mazoea kwamba huyu mbona anakuja kila siku haina haja ya kumpapatikia.....anamuhudumia mteja wa kila siku kwa kumcheleweshea huduma,kumdharau na lugha mbaya.
(3)Bei kubwa-Wengi wao huwa wanataka faida kubwa kwa muda mfupi badala ya kutengeneza wigo mpana wa wateja kwa faida ndogo ila jioni faida ikawa kubwa ZAIDI.
NB:Business is Product,process and people.
Vp kuhusu capital mkuuHapana mkuu,mimi nikwambie tu kwamba hii biz ni nzuri sana ila wengi wanaofanya biashara hii huwa wanaanza vzr ila kadri siku zinavyokwenda anaharibu biashara kwa kuapply mazoea.Mwanzo huwa wanaanza kupika chakula kitamu na kumantain usafi ila kadiri wateja wanavyomiminika yeye hujisahau na kuleta mazoea.
Haya ni miongoni mwa mambo yanayowakwamisha wanaofanya biashara hii:
(1)Ladha mbaya chakula-Huwa anachukulia kwamba wateja ni wengi na wanakuja wenyewe so kwasabbu hiyo huwa anapunguza ubora/ladha ya chakula kwa kudhani kwamba mbona wateja washanizoea wanakuja wenyewe.
(2)Usafi-Huwa wanadharau swala zima la usafi kitu amabcho ndo miongo mwa nguzo kuu za biashara hii......mtu anamtengea mteja chakula huku anavuja jasho au mikono yake imeloa maji na sehemu ya maji hayo yanabaki katika sahani ya chakula
(3)Huduma mazoea-Mbaya kuliko zote huwahudumia wateja kwa mazoea kwamba huyu mbona anakuja kila siku haina haja ya kumpapatikia.....anamuhudumia mteja wa kila siku kwa kumcheleweshea huduma,kumdharau na lugha mbaya.
(3)Bei kubwa-Wengi wao huwa wanataka faida kubwa kwa muda mfupi badala ya kutengeneza wigo mpana wa wateja kwa faida ndogo ila jioni faida ikawa kubwa ZAIDI.
NB:Business is Product,process and people.
Nakazia apa ukijibiwa uni tagiVp kuhusu capital mkuu
Kuna vitu vingi sana haujajumuisha kwenye mpango wako. Kuna suala la maji, umeme, pia miundombinu ya sehemu utakapofanyia biashara yako hiyo .Tuingie contract ...nikupe 435,000 ufungue kibanda then tutajua tunalipana vipi.
Ndio sababu Kuna maelezo yanasema ukitaka kujua kiundani jiunge katika Watsap group. After all Kama utakua unalipia sehemu 5000 kwa siku nadhan una majibu ya jinsi umeme na miondombinuKuna vitu vingi sana haujajumuisha kwenye mpango wako. Kuna suala la maji, umeme, pia miundombinu ya sehemu utakapofanyia biashara yako hiyo .