Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

Aisee Hili wazo limenikaa sana kichwani mwangu Ila nashindwa namna ya kuanzia....japo sijawahi kuifanya Ila ndiyo biashara ninayokaribia kuifanya.Katika uchunguzi wangu nimegundua siri 3 ya biashara Hii.
1)Usafi
2)Chakula kitamu
3)Bei cheap
4) Huduma nzuri kwa Wateja.
Ukicontrol hayo lazima utoboe.
 
Kweli mkuuu
 
Well said ila na location mana unaweza kuwa na yote ila ukawa na location mbaya
 
Ni kweli
 
Mim simkatishi mtu tamaa ila hii biashara ni biashara ngumu sana, Utaianza vizuri haipiti miezi 6 ushaumia, labla usiwe na biashara moja, usiitengemee kama ndiyo biashara kuu inayo kuingizia hela
 
Hapana mkuu,mimi nikwambie tu kwamba hii biz ni nzuri sana ila wengi wanaofanya biashara hii huwa wanaanza vzr ila kadri siku zinavyokwenda anaharibu biashara kwa kuapply mazoea.Mwanzo huwa wanaanza kupika chakula kitamu na kumantain usafi ila kadiri wateja wanavyomiminika yeye hujisahau na kuleta mazoea.
Haya ni miongoni mwa mambo yanayowakwamisha wanaofanya biashara hii:
(1)Ladha mbaya chakula-Huwa anachukulia kwamba wateja ni wengi na wanakuja wenyewe so kwasabbu hiyo huwa anapunguza ubora/ladha ya chakula kwa kudhani kwamba mbona wateja washanizoea wanakuja wenyewe.
(2)Usafi-Huwa wanadharau swala zima la usafi kitu amabcho ndo miongo mwa nguzo kuu za biashara hii......mtu anamtengea mteja chakula huku anavuja jasho au mikono yake imeloa maji na sehemu ya maji hayo yanabaki katika sahani ya chakula
(3)Huduma mazoea-Mbaya kuliko zote huwahudumia wateja kwa mazoea kwamba huyu mbona anakuja kila siku haina haja ya kumpapatikia.....anamuhudumia mteja wa kila siku kwa kumcheleweshea huduma,kumdharau na lugha mbaya.
(4)Bei kubwa-Wengi wao huwa wanataka faida kubwa kwa muda mfupi badala ya kutengeneza wigo mpana wa wateja kwa faida ndogo ila jioni faida ikawa kubwa ZAIDI.

NB:Business is Product,process and people.
 
Well said ila na location mana unaweza kuwa na yote ila ukawa na location mbaya
Location siyo ishu mkuu......zingatia hayo mambo manne,wateja watakufata popote ulipo...hakuna mtu anaependa kutoa pesa yake ili apate huduma mbovu,kila mtu anataka aone thamani ya pesa yake.....so utatafutwa na wateja popote hata kama umejificha,waliowahi kusema "Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza walikuwa na maaana hii".
 
Hapana mkuu,mimi nikwambie tu kwamba hii biz ni nzuri sana ila wengi wanaofanya biashara hii huwa wanaanza vzr ila kadri siku zinavyokwenda anaharibu biashara kwa kuapply mazoea.Mwanzo huwa wanaanza kupika chakula kitamu na kumantain usafi ila kadiri wateja wanavyomiminika yeye hujisahau na kuleta mazoea.
Haya ni miongoni mwa mambo yanayowakwamisha wanaofanya biashara hii:
(1)Ladha mbaya chakula-Huwa anachukulia kwamba wateja ni wengi na wanakuja wenyewe so kwasabbu hiyo huwa anapunguza ubora/ladha ya chakula kwa kudhani kwamba mbona wateja washanizoea wanakuja wenyewe.
(2)Usafi-Huwa wanadharau swala zima la usafi kitu amabcho ndo miongo mwa nguzo kuu za biashara hii......mtu anamtengea mteja chakula huku anavuja jasho au mikono yake imeloa maji na sehemu ya maji hayo yanabaki katika sahani ya chakula
(3)Huduma mazoea-Mbaya kuliko zote huwahudumia wateja kwa mazoea kwamba huyu mbona anakuja kila siku haina haja ya kumpapatikia.....anamuhudumia mteja wa kila siku kwa kumcheleweshea huduma,kumdharau na lugha mbaya.
(3)Bei kubwa-Wengi wao huwa wanataka faida kubwa kwa muda mfupi badala ya kutengeneza wigo mpana wa wateja kwa faida ndogo ila jioni faida ikawa kubwa ZAIDI.

NB:Business is Product,process and people.
Ulichosema Mkuu ni kweli KBS,,,has a sisi watz hatujiamini,,alafu hatuchelewi kujiinua badala ya kuiinua biashara
 
Vp kuhusu capital mkuu
 
Sijasoma michango mingine so,sijui Kama ninachosema kitakua kishasemwa.

-vitu visivyoharibika usinunue kila siku kwa reja reja. NUNUA KWA JUMLA JUMLA. Mfano
Mkaa dunia
Viazi gunia
Mafuta ndoo nk.

Hakikisha wiki shiriki mpaka hivyo vitu vitapoisha na hela yake uwe usiiguse. Fanya mahesabu kwa muda huo vimeleta shingapi. Hapo ndio utajua wafanyakazi uwalipe shingapi, na wewe ubaki na shngapi baada ya kutoa hela ya manunuzi katika mauzo ya muda huo.
 
JINSI YA KUANZISHA BIASHARA YA CHIPSI KWA TSH LAKI NNE NA THELASINI NA TANO 435,000. TU.

Biashara ya chipsi imezidi kushamiri na kuwa moja Kati ya chakula pendwa Sana hivyo kupelekea kuwa ajira na sehemu ya kipato kwa watu.
Leo nataka kukuonyesha namna unaweza kuanza biashara yako kwa mtaji mdogo tu wa laki nne na ukaiona faida.

GHARAMA ZA KUDUMU.
Jiko la chips......................... 30,000.
Jiko la mishkaki...............25,000-45,000.
Kabati la vioo....................200,000.
Sahani kumi (10).......15,000.
meza ndogo ......50,000.
Vikorokoro vya kusaidia kazi ...30,000.
Ndoo unaweza kutumia za kwako si lazima ununue.

GHARAMA ZA KUENDESHA BIASHARA.
Kodi........5000 kila siku pengine 3000.
Mkaa.......7000.
Ndoo ya viazi............15,000.
Kuku wawili..........10,000.
mafuta 3 litre....@14000.
mayai Trey moja. 8000.

JUMLA KUU .......435,000.
KUMBUKA: BEI HIZI ZINABADILIKA KULINGANA NA SOKO.
 
Kuna vitu vingi sana haujajumuisha kwenye mpango wako. Kuna suala la maji, umeme, pia miundombinu ya sehemu utakapofanyia biashara yako hiyo .
Ndio sababu Kuna maelezo yanasema ukitaka kujua kiundani jiunge katika Watsap group. After all Kama utakua unalipia sehemu 5000 kwa siku nadhan una majibu ya jinsi umeme na miondombinu
 
Back
Top Bottom