Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Zinanza kudhibitiwa Sijui utapumulia wapi?Kazi nzur n kubet tuu,,,, unaingiza pesa ukiwa geto umelala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinanza kudhibitiwa Sijui utapumulia wapi?Kazi nzur n kubet tuu,,,, unaingiza pesa ukiwa geto umelala
Sidhan kama upo serious. Vijana unaowatetea wanasmartphone za hadi laki tano,wananunua bando kila siku. Kwa kufupi inawezekana kuanza na mtaji mdogo. Mfano mimi nilifungua mgahawa kwa sh laki tisa tu na hapo nikiwa nmelipa kodi ya chumba miez 3 na kununua kila kitu. Na mgahawa huo ulinipatia sh. Elfu kumi kila siku ambayo nachukua sh 70,000/ kila jumapili hii ni sawa na sh. 280,000/ kwa mwezi hapo utashindwaje kulipa ada za shule kwa watoto? Shida ni kwamba wengi wetu hasa tuliajiriwa hizi biashara ndogo ndogo tunaziona ujinga.Laki 4 kwa maisha ya kijana mtanzania wa siku hizi hapo niparefu jamaa yangu
Kuku wanauzwa bei gani?Hao kuku wamekufa, hakuna kuku wa 5000 wazima.
Mkuu eneo linapatikana ukilitafutaT
Tatizo eneo la biashara chips zisije doda
Negative thoughtswanafunzi siku hizi wanakula shuleni,hizo viepe mtamuuzia nani?
labda wanaume wa dar...
negative mind
Nikweli aiseeeHakuna suppliers watakaokuambia hili
Inabidi wewe mwenyewe uende kwenye mahoteli na kuonana na wenye mali
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kwa kweli ngoja tufufue Uzi...kama siyo mfuatiliaji wa bidhaa mbalimbali sokoni huwezi kunielewa!
Nyama ya ng'ombe kwa Dar es Salaam inapatikana kwa 4000 tu ndiyo maana mabucha mengi kwa sasa yanauza 5000-6000.