Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

Kichwa cha habari hapo juu chahusika, nataka kuanzisha biashara ya mama ntilie nna mtaji wa milioni moja hivi kodi hapohapo, nimefanikiwa kuzunguka na kupata fremu ya 150,000 kwa mwezi amekubali nilipie kwa miezi mitatu, fremu ipo kwenye mzunguko wa watu ni maeneo ya bunju b, nailipia jumamosi, msichana msafi na mchangamfu nnaye labda atafute msaidizi. Cha kuzingatia sijawahi kufanya biashara kabla wadau nakaribisha mawazo yenu kama kuna kitu cha kuzingatia nlichosahau hapo
 
Usafi wako, mapishi bora, kauli nzuri, boresha Huduma utofautiane na jiran zako kama sahani ya wali nyama ni elf 2 wewe uza bei hio halafu weka na tunda pemben hata kama ni ndizi unaigawa Mara mbili au chungwa moja unagawa Mara NNE kuonesha utofauti na wengine

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante mkuu ntazingatia hilo
 
Kichwa cha habari hapo juu chahusika,

Nataka kuanzisha biashara ya 'Mama Ntilie' nina mtaji wa milioni moja hivi, kodi hapohapo.

Nimefanikiwa kuzunguka na kupata fremu ya 150,000 kwa mwezi amekubali nilipie kwa miezi mitatu, fremu ipo kwenye mzunguko wa watu ni maeneo ya Bunju B, nailipia jumamosi

Msichana msafi na mchangamfu ninaye labda atafute msaidizi.

Cha kuzingatia sijawahi kufanya biashara kabla wadau nakaribisha mawazo yenu kama kuna kitu cha kuzingatia nlichosahau hapo
Mwanzo mzuri mkuu...

Angalia tu binafsi kero zangu tu nikupe huenda ukazifanyia kazi.

Napenda chakuka kitamu, hasa wali hakikisha unatafta mchele mzuri na wenye ladha.

Uharaka wa huduma huwa sipendi nimefika then sisikilizwi, wahudumu wawe shapu,

Mambo ya mtu umeagiza supu then chapati za kusubili hiyo wengi hatupendi aisee.

Tafta na friji weka juisi, soda na maziwa mtindi kama kuna wapenzi nayo kama mimi.
Staha epuka maneno yanatayokushushia heshima, but tarajia maneno ya kukera kutoka kwa wateja.

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu na vinywaji pia ntaweka
 
Mambo ya kuzingatia unapoanzisha biashara ya chakula:-

1. Usafi wa watu/mtu na mahala pa kufanyia kazi (hili ni muhimu mnooo)
2. Kujua bei za bidhaa, kujihimu kudamka sokoni (masoko makuu) Nazi ya kawaida unaweza kuinunua kwa shilingi 1,500 mda wa kawaida, lakini ukidamka sokoni unaipata kwa mia saba ama elfu moja.
3. Kujua aina ya wateja waliokuzunguka na wanataka nini. Huwezi kupiga mchele kwenye eneo la Wasukuma wengi.
4. Kujali maslahi ya wafanyakazi wako na kuwa na ukaribu nao
5. Kuwa na tabia ya kudamkia Feri siku za weekend, kusanya stock ya wiki nzima badala ya kununua rejareja (feri utajifunza meng)
6. Ubunifu na ucheshi kwa wateja
 
Unafungua Biashara wewe hata kusimamia mwezi haupo, unatkiwa mwanzo wa biashara uwepo ndo unamkabidhi mtu ili ujue muenendo mzima wa biashara, hivi unajua hata kilo moja wali unatoka sahani ngapi? ratio ya kg za nyama na wali? mimi naona biashara hii fungua ukiwepo ukishajua ndo umkabidhi huyo dada, la sivyo million inateketea au omba mtu awepo hapo badala yako.
 
Mammbo ya kuzingatia unapoanzisha biashara ya chakula:-
1. Usafi wa watu/mtu na mahala pa kufanyia kazi (hili ni muhimu mnooo)
2. Kujua bei za bidhaa, kujihimu kudamka sokoni (masoko makuu) Nazi ya kawaida unaweza kuinunua kwa shilingi 1,500 mda wa kawaida, lakini ukidamka sokoni unaipata kwa mia saba ama elfu moja.
3. Kujua aina ya wateja waliokuzunguka na wanataka nini. Huwezi kupiga mchele kwenye eneo la wasukuma wengi.
4. Kujali maslahi ya wafanyakazi wako na kuwa na ukaribu nao
5. Kuwa na tabia ya kudamkia Feri siku za weekend, kusanya stock ya wiki nzima badala ya kununua rejareja (feri utajifunza meng)
6. Ubunifu na ucheshi kwa wateja

Sawa mkuu nimekuelewa
 
Unafungua Biashara wewe hata kusimamia mwezi haupo, unatkiwa mwanzo wa biashara uwepo ndo unamkabidhi mtu ili ujue muenendo mzima wa biashara, hivi unajua hata kilo moja wali unatoka sahani ngapi? ratio ya kg za nyama na wali? mimi naona biashara hii fungua ukiwepo ukishajua ndo umkabidhi huyo dada, la sivyo million inateketea au omba mtu awepo hapo badala yako.

Sawa huyo Dada namjua na utendaji kazi wake na uaminifu wake naujua pia, akinidanganya ntajua pia na akija kubadilika ntajua pia. Sio mgeni kwangu
 
Ntamwachia ntapitia hesabu coz mda mwingi ntakua kibaruani
Itakushinda kama utaanza hiv dada angu,nikwambie ukwel tuu...

Sabab management ndo kila kitu,huyo msichana si maono yake hyo biashara so yeye anafanya tuu alipwe..wew ndie mwenye maono kwamba unataka chakula kiwe hiv,quality i mean..usaf,hospitality,uwepo uvumiliv,acountability etc .so huyo dada hatoweza.

Atauza wik 1 ataona hamna wateja atavunjika moyo ataanza lipua kaz na ndo mwanzo wa kuharibika..sabab trend ya biashara yoyote.enewea,graph huanza kidogo then hushuka kwa kas ya ajab,badaee ndo huanza kupanda,je huyo unaemwachia ataweza haya yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntamwachia ntapitia hesabu coz mda mwingi ntakua kibaruani
Kama ni hivi, inakupasa uwe makini sana. Tena ingekuwa ni vema kama ukaanza kwa kukaa mwenyewe, ili ufahamu biashara yako ina mzungo wa kiasi gani minimum and maximum.

Then ndio umuachie mtu ila pia kwa kuanza kukaa mwenyewe kungekusaidia kufahamu madhaifu ya biashara yako, kutokana na complements za wateja wako, kwanzia hapo ungekuwa na room kubwa ya develop mfumo mzuri wa uendeshaji wa biashara yako.

Note: Biashara ni mwanzo. Ukianza vibaya, ni ngumu sana huko mbele kukaa vizuri....maana utakuwa ushakimbiza wateja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa huyo Dada namjua na utendaji kazi wake na uaminifu wake naujua pia, akinidanganya ntajua pia na akija kubadilika ntajua pia. Sio mgeni kwangu
Sawa.

Aamke asubuhi sana kuwahi machinjioni kufata nyama, utumbo, bichwa la supu, apike supu nzuri sana na chapati laini, chai tamu juice nzuri pia soda maji baridi sana.

Faida ya mama ntilie huwaga ni asubuhi kwenye soup na maharage chapatai,zikibaki anaunga mchuzi au kapilau kwa ajili ya mchana(mpaka hapo huna hasara asubuhi) utumbo anaunga na mboga za majani anauzia ugali, mchana wali ugali, hapo mboga samaki, nyama utumbo dagaa, maharage pilau unaweza fanya ijumaa.

Usisahau viungo vya chai, mchuzi pilau kanunue kariakoo soko kuu dukani kwa Issa, kama unalifahamu duka la kipara atakuelekeza kwa issa, viungo vyake fresh wewe unamtajia tu anakupa mengine fata ushauri wa Dharra na huyo mdau aliyetoa kero zake.
 
Sawa

Back
Top Bottom