Fahamu kuhusu " Deep State " ilivyo na inavyofanya kazi

Deep State kwa tafsiri isiyo rasmi ni “Waundaji na Waendeleza Taifa”. Tanzania neno “System” (Mfumo) huwa linatumiwa sana kumaanisha deep state lakini kiuhalisia deep state sio system. System ni mojawapo ya zao dogo tu la deep state na inaweza kusambaratishwa wakati wowote.

Deep State ni kundi lisilo rasmi la kiintelijensia ambalo hujumuisha makundi mbalimbali. Hujumuisha baadhi ya watu waliopo katika utumishi na wastaafu na hata marehemu (maandishi yao) katika intelijensia ya jeshi, usalama wa taifa na hawa huja pamoja si kwa kuambiwa au kuelekezwa bali kwa yale ambayo wao wanayaamini kimapokeo kuwa ni misingi ya uhai wa taifa.

Watu hawa huamua nani awe mgombea Urais kwa mfano, nani awe Makamu wake, nani awe Waziri Mkuu, nani awe tajiri mkubwa (kwa nchi nyingi za Afrika kwa mfano matajiri wengi wamefanikiwa kwa kupitia kazi za miradi ya umma) kadhalika. Maamuzi haya hayafanywi usiku mmoja, wakati mwingine huchukua miaka wakitumia njia zote zinazowezekana kuhakikisha nani anafikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi au sehemu fulani nyeti na nani hafiki.

Wakiamua wewe hutakaa uwe Rais wa nchi kwa mfano, huwezi kuwa. Huwa hawana upendeleo, wana roho ngumu, maamuzi magumu, hakuna anayemzidi mwingine kwa uzito na umuhimu wa maoni na hutazama mustakabali wa nchi kwa miaka mingi mbele, tofauti na wanasiasa ambao wao hutaka tu kushinda chaguzi. Ifahamike kuwa inawezekana hata Rais aliye madarakani asifahamu kwa hakika watu hao wote kwa ujumla wao. Hii hutokea hasa katika nchi zinazofanya chaguzi kila baada ya miaka michache.

Waasisi wengi wa mataifa huwa ni sehemu ya deep state mfano Mwalimu Nyerere ambaye maandiko yake ndicho chanzo cha Waziri Kiongozi wa zamani wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kufungwa gerezani na hadi leo kuendelea kuota ndoto za kuwa Rais wa Zanzibar ambazo huenda anakwenda nazo kaburini. Deep state huwa ni kama jini, wakati mwingine unaweza kusema halipo ni maneno tu.

Deep state huweza kutikisa nchi kwa kuhujumu uongozi ulio madarakani kama ikidhihirika walikosea katika kumpitisha kiongozi husika au wakipoteza nguzo inayowalinda ambayo ni uhai wa taifa. Nchini Tanzania kundi la “deep state” halizidi watu 50 katika wakati wowote.

Itaendelea...
Bhaa
 
Nahisi hao "deep state" ndiyo pia huitwa Matrix.
'Matrix' ni jambo lenye asili ya 'Kumbukumbu'...

Kwa hivyo hisia zako, kimuktadha akilifu wa uono na ufikirifu mifumo, ni sahihi...

Kumbukumbu ina 'unje' na 'undani'...

Matriksi, kiufundi, ni mambo ya metafo za 'Shetani' na 'Malaika' na 'Kujichagulia'...

Kwa hivyo 'Matriksi' katika sura na hadhi ya 'kumbukumbu utaasisi' ni mambo ya 'miongozo'...

Matriksi ni KUBU ya sura, hadhi na msimamo wa jamii kwa/katika 'mapana ya wakati/nyakati'...

Uhusiano wa KUBU na Mifumo ni mambo ya 'mafumbo ya imani'...

Inaweza kuwa ni mchanganyiko wa 'lugha za wanadamu' na 'lugha za malaika', kwa ajili ya miongozo ya 'maisha, kuishi na kheri ya ustawi' wa jamii kumbaizi kwa daraja na utukufu fulani -- daraja na utukufu wenye kukusudiwa kwa jamii, viongozi, sura ya nchi na tawala...

Kwa hivyo, kumbukumbu zote huja na 'KUBU'--Kiufundi, mambo ya Duara na Nukta--'Mwezi na Nyota', vivyo hivyo 'Msalaba'...

Mambo ya 'Ontolojia ya Taasisi'...

Hmmm

View: https://www.youtube.com/watch?v=AqGthp56KfM
 
Nasikia kuna deep state ya dunia,may have another acronym for sure lakini of similar functions kama hiyo,mwenye uelewa tafadhali.
 
Unamuonea Bure na yeye ka copy na Ku paste toka kwa Daud Balali wa Twitter au EC ,

Sasa anasubiri aendelee a copy tena jamaa asipoendelea na story inaishia hapo
Neno
 
Nasikia kuna deep state ya dunia,may have another acronym for sure lakini of similar functions kama hiyo,mwenye uelewa tafadhali.
Hiyo ukitaka kuijua tembelea vijiwe vya kahawa na cd za maustadhi wa buguruni na kijiwe samli..
 
Deep State kwa tafsiri isiyo rasmi ni “Waundaji na Waendeleza Taifa”. Tanzania neno “System” (Mfumo) huwa linatumiwa sana kumaanisha deep state lakini kiuhalisia deep state sio system. System ni mojawapo ya zao dogo tu la deep state na inaweza kusambaratishwa wakati wowote.

Deep State ni kundi lisilo rasmi la kiintelijensia ambalo hujumuisha makundi mbalimbali. Hujumuisha baadhi ya watu waliopo katika utumishi na wastaafu na hata marehemu (maandishi yao) katika intelijensia ya jeshi, usalama wa taifa na hawa huja pamoja si kwa kuambiwa au kuelekezwa bali kwa yale ambayo wao wanayaamini kimapokeo kuwa ni misingi ya uhai wa taifa.

Watu hawa huamua nani awe mgombea Urais kwa mfano, nani awe Makamu wake, nani awe Waziri Mkuu, nani awe tajiri mkubwa (kwa nchi nyingi za Afrika kwa mfano matajiri wengi wamefanikiwa kwa kupitia kazi za miradi ya umma) kadhalika. Maamuzi haya hayafanywi usiku mmoja, wakati mwingine huchukua miaka wakitumia njia zote zinazowezekana kuhakikisha nani anafikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi au sehemu fulani nyeti na nani hafiki.

Wakiamua wewe hutakaa uwe Rais wa nchi kwa mfano, huwezi kuwa. Huwa hawana upendeleo, wana roho ngumu, maamuzi magumu, hakuna anayemzidi mwingine kwa uzito na umuhimu wa maoni na hutazama mustakabali wa nchi kwa miaka mingi mbele, tofauti na wanasiasa ambao wao hutaka tu kushinda chaguzi. Ifahamike kuwa inawezekana hata Rais aliye madarakani asifahamu kwa hakika watu hao wote kwa ujumla wao. Hii hutokea hasa katika nchi zinazofanya chaguzi kila baada ya miaka michache.

Waasisi wengi wa mataifa huwa ni sehemu ya deep state mfano Mwalimu Nyerere ambaye maandiko yake ndicho chanzo cha Waziri Kiongozi wa zamani wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kufungwa gerezani na hadi leo kuendelea kuota ndoto za kuwa Rais wa Zanzibar ambazo huenda anakwenda nazo kaburini. Deep state huwa ni kama jini, wakati mwingine unaweza kusema halipo ni maneno tu.

Deep state huweza kutikisa nchi kwa kuhujumu uongozi ulio madarakani kama ikidhihirika walikosea katika kumpitisha kiongozi husika au wakipoteza nguzo inayowalinda ambayo ni uhai wa taifa. Nchini Tanzania kundi la “deep state” halizidi watu 50 katika wakati wowote.

Itaendelea...
Deep State kwa tafsiri isiyo rasmi ni “Waundaji na Waendeleza Taifa”. Tanzania neno “System” (Mfumo) huwa linatumiwa sana kumaanisha deep state lakini kiuhalisia deep state sio system. System ni mojawapo ya zao dogo tu la deep state na inaweza kusambaratishwa wakati wowote.

Deep State ni kundi lisilo rasmi la kiintelijensia ambalo hujumuisha makundi mbalimbali. Hujumuisha baadhi ya watu waliopo katika utumishi na wastaafu na hata marehemu (maandishi yao) katika intelijensia ya jeshi, usalama wa taifa na hawa huja pamoja si kwa kuambiwa au kuelekezwa bali kwa yale ambayo wao wanayaamini kimapokeo kuwa ni misingi ya uhai wa taifa.

Watu hawa huamua nani awe mgombea Urais kwa mfano, nani awe Makamu wake, nani awe Waziri Mkuu, nani awe tajiri mkubwa (kwa nchi nyingi za Afrika kwa mfano matajiri wengi wamefanikiwa kwa kupitia kazi za miradi ya umma) kadhalika. Maamuzi haya hayafanywi usiku mmoja, wakati mwingine huchukua miaka wakitumia njia zote zinazowezekana kuhakikisha nani anafikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi au sehemu fulani nyeti na nani hafiki.

Wakiamua wewe hutakaa uwe Rais wa nchi kwa mfano, huwezi kuwa. Huwa hawana upendeleo, wana roho ngumu, maamuzi magumu, hakuna anayemzidi mwingine kwa uzito na umuhimu wa maoni na hutazama mustakabali wa nchi kwa miaka mingi mbele, tofauti na wanasiasa ambao wao hutaka tu kushinda chaguzi. Ifahamike kuwa inawezekana hata Rais aliye madarakani asifahamu kwa hakika watu hao wote kwa ujumla wao. Hii hutokea hasa katika nchi zinazofanya chaguzi kila baada ya miaka michache.

Waasisi wengi wa mataifa huwa ni sehemu ya deep state mfano Mwalimu Nyerere ambaye maandiko yake ndicho chanzo cha Waziri Kiongozi wa zamani wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kufungwa gerezani na hadi leo kuendelea kuota ndoto za kuwa Rais wa Zanzibar ambazo huenda anakwenda nazo kaburini. Deep state huwa ni kama jini, wakati mwingine unaweza kusema halipo ni maneno tu.

Deep state huweza kutikisa nchi kwa kuhujumu uongozi ulio madarakani kama ikidhihirika walikosea katika kumpitisha kiongozi husika au wakipoteza nguzo inayowalinda ambayo ni uhai wa taifa. Nchini Tanzania kundi la “deep state” halizidi watu 50 katika wakati wowote.

Itaendelea...

inaonekana na wewe ni mtu wa deep state 🥲
 
Ukishasema ‘intelligence services’ hakuna tafsiri nyingine zaidi ya watu wenye akili kubwa kuongoza nchi.

Ni unofficial government (senior civil servants), changamoti yao hawana mandate ya kuamua moja kwa moja maamuzi ya nchi.

Kwa katiba yetu ya ‘unitary constitution’ sikia tu ambayo inafanana na waingereza sikia tu succession planning jinsi hao makatibu wakuu wa wizara wanavyopatikana ni vipanga hadi kufikia hiyo nafasi sio mzaha (na sio siri kwao, huyo ni afisa usalama).

Kwenye majukumu yao makatibu wakuu wanatakiwa kutumia akili kubwa sana ku-influence maamuzi ya serikali yoyote itakayoingia madarakani kwenda sambamba na national interest.

Tanzania mchezo wa usalama wa nchi bado sana, Africa kwa ujumla asilimia kubwa. Tusifanye mchezo na watu wanaohakikisha nchi zao haziyumbi nyuma ya pazia huko walikoendelea, sio watu wa mzaha kabisa.

JF unaweza kuandika points ambazo zipo based on evaluation and analytics (of the situation using theories) na ukaonekana taahira tu. Halafu ukaandika ujinga ambao watu wanataka kusikia ukala likes za ajabu.

Wazungu wanaelewa hizo changamoto za kuendesha nchi kabla ya hata kuenea kwa Abrahamic region (ambazo zimetumika kukusanya fikra za watu), if you go by the time Aristotle and Plato lived (350 BC).

Sasa jiulize how come ushahidi wa philosophers waliokuwa wakiishi 350 BC uwepo halafu kusiwe na religious archeology evidence za old tastement (mdingi wa Abrahamic religions zote).

Mpaka leo msingi mzima wa western democracy ni Plato republic and his ship analogy and cave allegory.

Since then philosophy as a subject has produced so many other disciplines, ambacho akijabadilika kwenye mtazamo wa western government in relation to Plato’s view is the concept of philosophers king.

Tanzania watu wengi inaonekana wamechonga vyeti na Ndugai aliwahi kugusia wasomi wanaopelekwa ku-negotiate mikataba au wanaoenda kutetea nchi mahakamani ukute ufaulu wao ni wa daraja la chini.

Sasa kwa science this makes sense, hata mijadala ya JF technical ni percent ndogo sana wanaweza ona akili iliyotumika kuona depth ya post. They can’t tell the theorical evaluation and analysis applied to comment (on the subject matter).

Ni kwamba nchi inaongozwa na watu wasio na uwezo ndio maana hiko hapo. Hakuna cha deep state Tanzania, na kama ipo basi succession planning yake is not based on intelligence.

Usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili tu, nothing else.
 
na kwa mambo ya duniani, shetani ndiye mratibu mkuu wa mambo yote akiwatumia elites - ma illuminati. Hawa ndio wapanga ratiba zote za kidunia. (secretly)
Huu ndio uwezo wa akili zenu halisi kwenye kufikiria na kudadavua mambo. Halafu mnataka kuongea mambo ya usalama.

Unadhani hayo mambo ya mzaha.

Hata ukisoma maelezo ya mada kuhusu maswala ya intelligence; ujinga mtupu.
 
usalama ni Mungu. sio akili na mbinu za wanadamu. wewe mwenyewe umesema deep state ni kama jini.

u will know nothing unless u know God!
 
Kiongozi una point ya uwepo wa mungu, hilo wala sibishi. But then the definition of whom, or what posses those godly powers depends on personal beliefs.

That is to say, I have no doubt on spiritual prowess and guidance; believe and you will witness (that depends on personal life challenges and experience).

With my life experience I have no doubt there are spiritual powers protecting me, and I haven’t shown my gratitude enough if I am honest (given the favours I have received).

But then mainly because I am a lazy worshipper (I expect the omnipotent to understand that), nonetheless the times I have dodged enemies bullets at the time of desperate need, my justification it’s only because of god favours (you don’t want to know the stories).

Lakini hata huyo mungu. atakuonyesha yupo tu; sehemu kubwa ya mafanikio yako ni wewe sasa kutumia maarifa ambayo hizo karama kawapa wengine wakufungue. Uwe tayari kukubali somo kutoka kwana kujituma (hakuna mtu anajua kila kitu, lazima kuna mtu atakufunza kitu kwenye maisha).

Sasa basi kwa elimu yangu ya kawaida kabisa kwa huku nilipo, Iła kwa kuelewa jinsi nchi za wenzetu zinavyoendeshwa na aina ya watu wanaoendesha hizo nchi (uwezo wao sio mashaka kabisa) na kuwasikiliza hawa wetu. Tofauti yao ni mbingu na ardhi.

Naweza sema with confidence Tanzania civil aina watu wenye uwezo, wa kuendesha nchi. Kwa sababu luluki.

Mind you can’t just say things which you can’t justify, hawana uwezo wa kudadavua mambo kisomi based evaluation of events theoretically,, analysing the situation and making decisions based on national interest.

Msingi wa uhafifu huo has to be tied na ufaulu mmbovu wa shahada zao, pamoja na kutojiongeza wenyewe kielimu.

It’s easy to tell, usalama wa taifa ni weak. Ukisoma upuuzi wa jukwaa la siasa kama una abc za siasa na uchumi; you can tell nchi itakuwa wapi based na maamuzi yanayofanywa leo. Sio kwa kubahatisha ni kutumia science tu.
 
Back
Top Bottom