Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi una point ya uwepo wa mungu, hilo wala sibishi. But then the definition of whom, or what posses those godly powers depends on personal beliefs.
That is to say, I have no doubt on spiritual prowess and guidance; believe and you will witness (that depends on personal life challenges and experience).
With my life experience I have no doubt there are spiritual powers protecting me, and I haven’t shown my gratitude enough if I am honest (given the favours I have received).
But then mainly because I am a lazy worshipper (I expect the omnipotent to understand that), nonetheless the times I have dodged enemies bullets at the time of desperate need, my justification it’s only because of god favours (you don’t want to know the stories).
Lakini hata huyo mungu. atakuonyesha yupo tu; sehemu kubwa ya mafanikio yako ni wewe sasa kutumia maarifa ambayo hizo karama kawapa wengine wakufungue. Uwe tayari kukubali somo kutoka kwana kujituma (hakuna mtu anajua kila kitu, lazima kuna mtu atakufunza kitu kwenye maisha).
Sasa basi kwa elimu yangu ya kawaida kabisa kwa huku nilipo, Iła kwa kuelewa jinsi nchi za wenzetu zinavyoendeshwa na aina ya watu wanaoendesha hizo nchi (uwezo wao sio mashaka kabisa) na kuwasikiliza hawa wetu. Tofauti yao ni mbingu na ardhi.
Naweza sema with confidence Tanzania civil aina watu wenye uwezo, wa kuendesha nchi. Kwa sababu luluki.
Mind you can’t just say things which you can’t justify, hawana uwezo wa kudadavua mambo kisomi based evaluation of events theoretically,, analysing the situation and making decisions based on national interest.
Msingi wa uhafifu huo has to be tied na ufaulu mmbovu wa shahada zao, pamoja na kutojiongeza wenyewe kielimu.
It’s easy to tell, usalama wa taifa ni weak. Ukisoma upuuzi wa jukwaa la siasa kama una abc za siasa na uchumi; you can tell nchi itakuwa wapi based na maamuzi yanayofanywa leo. Sio kwa kubahatisha ni kutumia science tu.