Fahamu kuhusu " Deep State " ilivyo na inavyofanya kazi


kumwamini Mungu ni lazima. kujua tuko duniani kwa mpango wake ni lazima.

Mungu alituumba tumtegemee Yeye kwa asilimia zote. Tulipotaka kujitegemea wenyewe, (pale tulipotaka kujua jema na baya) ndipo lilitokea anguko. Hivyo Mwanadamu anatembea akiwa kwenye anguko.wote tumepungukiwa na utukufu wa Mungu. Hivyo lazima tumhitaji Mungu kwenye kila jambo. Usalama wetu haumo katika wingi wa akili zetu na maarifa tuliyo nayo.

Angalia mazingira ambayo mtu amewekewa ulinzi mkubwa sana lakini anauawa, na yupo ambaye hajawekewa ulinzi wowote (wa kibinadamu) lakini wanaojaribu kumuua wanashindwa. (Tundu' s case)

kaa vizuri na Mungu malaika wa mbinguni wasioonekana kwa macho ya nyama na damu watakuzingira pande zote milele.

Hivi hujawahi kujua Mungu ni Baba yetu atupendaye sana?! kama hujafika viwango vya kujua Mungu wa mbinguni ni Baba, omba neema ya kufikishwa hapo.
 
"Deep State" siyo kamati, siyo tume, siyo kamisheni, siyo timu, siyo kikosi-kazi nk....maana hawakutani pamoja, hawana vikao, hawashauriani, hawana ajenda isipokuwa u-Taifa. Hawa hutoa maoni kwa nyakati tofauti na muhimu kwa mustakabali wa Taifa. Ni watu wanaojulikana kwa nyadhifa walizonazo au walizopata kuhudumu.
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…