DOMINGO THOMAS
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 365
- 365
- Thread starter
- #141
Ni uelewa tu.Ni somo zuri sana lakini sijaelewa kwa nini kuna watu wame-dislike!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni uelewa tu.Ni somo zuri sana lakini sijaelewa kwa nini kuna watu wame-dislike!
Nakubaliana nawe 60%Kwani ukilipa miezi 6 Kwa mkupuo ndio inazuia mtu kutafuta Ajira?
Walipe Kwa mkupuo walau Kuna ka hela kanakuwepo Cha kuanzia kutafuta Ajira
Sihitaji kusubiria pensheni ya Kila mwezi,hata hapo nimelazimika kufika maamuzi magumu ,nilipanga kuacha kazi walau na miaka 45.Haahaaa ungefika hata 53 ili pensheni ya Kila mwezi usi isubiri sana.
1. Kikokotoo kimerekebishwa kwa mifuko yote, kwenye ulipaji wa mafao hakuna kikokotoo cha watu temporary vs permanent employee.Sasa unaanzaje kulipwa mdogo mdogo harafu unasubiria miezi 18 uanze upya kutafutiza huoni huo ni usumbufu na lolote linaweza tokea hapo katikati?
PPF waliwahi nipa hela yote Kwa mkupuo na ndio ulikuwa utaratibu wa awali.
Uzembe wa mifumo kukosa hela ndio umewashishia mzigo walioko kwenye Ajira za mkataba.
Harafu Serikali imerekwbisha sheria ya kikokotoo iliyolalamikiwa na wale permanent employee,Kwa nini wasirekebishe na Kwa temporary contract employees? Hapo unaona ni sawa?
Mimi sipo kwenye mfuko wowote wala sio mwajiriwa wa serikali, nimeeleza kama Mtaalamu wa hifadhi ya jamii, kama tunaona sheria zilizopo sasa ni mbaya tuwaambie wabunge wetu waziwasilishe bungeniMwanachama yupi wakati mikataba yenyewe uko private haieleweki? mkisha kuwa serikalini mnasahu kuwa waajiri huku ni wahindi na wachina, wanakutumia wanakupa laki 3 au 4 hakuna mikopo wala bonus, mtu anapotaka pesa yake apewe acheni usumbufu wakati ni pesa yake
Mimi sipo kwenye mfuko wowote wala sio mwajiriwa wa serikali, nimeeleza kama Mtaalamu wa hifadhi ya jamii, kama tunaona sheria zilizopo sasa ni mbaya tuwaambie wabunge wetu waziwasilishe bungeniKama wabunge wanalipwa kiinua mgongo chote, na mishahara yao ni mikubwa sana, sasa kona kona za nini kwa huyu mtoto wa masikini anaetaka kujikwamua kutoka kwenye kifungo cha wahindi? mnashangaa wagonjwa wa akili kuongezeka wakati nyie ndio tatizo, wapeni watu pesa zao wafanye biashara waokoe familia zao
Unazingua,walioleta kikokotoo kipya kilicholalmikiwa ndio hao walifita Fao la Kujitoa Kwa utaratibu wa awali.1. Kikokotoo kimerekebishwa kwa mifuko yote, kwenye ulipaji wa mafao hakuna kikokotoo cha watu temporary vs permanent employee.
2. Kwenye maelezo yangu nimeeleza kwanini sera ya kulipwa asilimia kazaa kwa kipindi fulani baada ya hapo utafute ajira then ukikosa ndio urudi kuchukua zengine labda kama hujasoma andiko langu lote
-Utaratibu/Sheria zilizopo za mtu aliye poteza ajira na amechangia kwenye mfuko miezi 180+ na miaka yake ni chini ya 55 ni atalipwa kiinua mgongo sasa na pensheni ya Kila mwezi ataanza kulipwa atakapo fikia miaka 55..Sihitaji kusubiria pensheni ya Kila mwezi,hata hapo nimelazimika kufika maamuzi magumu ,nilipanga kuacha kazi walau na miaka 45.
Mwisho kwani wanapata penshen ya mwezi ni kiasi gani Cha basic salary? Weka calculation yake na pia ya pensheni as per kikokotoo kipya.
Yes, utalipwa tena fao la kukosa ajira.. hata hiyo hari ikijitokeza mara 10 utaratibu wa kulipwa ni huohuo.Hili likoje pia, umepewa fao la kukosa ajira kwa miezi 6 (33.3%) mfululizo na baada ya miezi mitatu ukapata ajira. Kisha baada ya miaka mitatu mkataba wa kazi ukaisha.
Je, utakuwa tena na sifa za kupewa fao la kukosa ajira?
Hapo sawa ila kinachoitwa mishahara 3 Bora ndani ya miaka 10 ndio nini? Kwamba Kuna wakati salary inaweza punguzwa so inatafutwa iliyokuwa ya Juu? Ufafanuzi please tena ukiweka mfano wa live calculation itakuwa nzuri eg mtu mwenye basic salary ya 1.3m per month.-Utaratibu/Sheria zilizopo za mtu aliye poteza ajira na amechangia kwenye mfuko miezi 180+ na miaka yake ni chini ya 55 ni atalipwa kiinua mgongo sasa na pensheni ya Kila mwezi ataanza kulipwa atakapo fikia miaka 55..
FORMULA YA KIKOKOTOO KIPYA KWENYE KIINUA MGONGO (KWA WALIO KUWA WANACHAMA WA LAPF NA PSPF)
1/580 x Miezi ya uchangiaji katika mfuko x Wastani wa mishahara bora ya miaka mitatu (3)
ndani ya miaka 10 kabla ya kustaafu x 0.40 x 12.5.
1/580 ni Kikokotoo limbikizi
0.40 ni Asilimia 40%
12.5 ni Makadirio ya miaka 12.5 ya kuishi baada ya kustaafu.
FORMULA YA KIKOKOTOO KIPYA KWENYE PENSHENI YA KILA MWEZI (KWA WALIO KUWA WANACHAMA WA LAPF NA PSPF)
1/580 x Miezi ya uchangiaji katika mfuko x Wastani wa mishahara bora ya miaka mitatu (3)
ndani ya miaka 10 kabla ya kustaafu x 0.60 x 1/12.
0.60 ni Asilimia 60%
1/12 ni wastani wa kitakacho lipwa kila mwezi.
FORMULA YA KIKOKOTOO KIPYA KWENYE KIINUA MGONGO (KWA WALIO KUWA WANACHAMA WA NSSF NA PPF)
1/580 x Miezi ya uchangiaji katika mfuko x Wastani wa mishahara bora ya miaka mitatu (3)
ndani ya miaka 10 kabla ya kustaafu x 0.35 x 12.5.
1/580 ni Kikokotoo limbikizi
0.35 ni Asilimia 35%
12.5 ni Makadirio ya miaka 12.5 ya kuishi baada ya kustaafu
FORMULA YA KIKOKOTOO KIPYA KWENYE PENSHENI YA KILA MWEZI (KWA WALIO KUWA WANACHAMA WA NSSF, NA PPF)
1/580 x Miezi ya uchangiaji katika mfuko x Wastani wa mishahara bora ya miaka mitatu (3)
ndani ya miaka 10 kabla ya kustaafu x 0.65 x 1/12.
0.65 ni Asilimia 65%
1/12 ni wastani wa kitakacho lipwa kila mwezi.
Kuhusu fao la kujitoa kwanini liliondolewa nilisha elezea muda...Unazingua,walioleta kikokotoo kipya kilicholalmikiwa ndio hao walifita Fao la Kujitoa Kwa utaratibu wa awali.
Wamefanya marekebisho Kwa kikokotoo kilicholalmikiwa ila hawajafanya marekebisho ya kanuni za fao la kujitoa.Hiyo unayoita sera haimsaidii huyu ambae ni temporary employees Bali Ina mnyonya.
Kanuni ya kukokotoa mafao ikoje? Ya mkupua na ya Kila mwezi.
Kitakacho kufanya upate mafao yako ni kuwa na barua ya ukomo wa kazi, nazani njia ya kufanya ni kupata barua ya kuachishwa kazimkuu hivi kwa mtu alieacha kazi kwa makubaliano na mwajiri wake(mutual agreement),hana barua ya kuacha Wala kuachishwa kazi zaidi ya certificate of service anaweza kutumia njia gani aweze kupata mafao yake?
Ndani ya miaka kumi kabla ya kustaafu tunatafuta miaka mitatu (miezi 36) iliyo kuwa na mishahara mikubwa kuzidi mingine hiyo tuna ijumulisha alafu tunagawa kwa 3.. ndio tunapata jibu la hapo...Hapo sawa ila kinachoitwa mishahara 3 Bora ndani ya miaka 10 ndio nini? Kwamba Kuna wakati salary inaweza punguzwa so inatafutwa iliyokuwa ya Juu? Ufafanuzi please tena ukiweka mfano wa live calculation itakuwa nzuri eg mtu mwenye basic salary ya 1.3m per month.
Ni mbaya toka Magufuli amezileta ulitumika ubabe kwasababu wana madaraka, huwezi kumzuia mtu kuchukua 9M wakati wabunge wanazoa zaidi ya 250M, ni uhuni huuMimi sipo kwenye mfuko wowote wala sio mwajiriwa wa serikali, nimeeleza kama Mtaalamu wa hifadhi ya jamii, kama tunaona sheria zilizopo sasa ni mbaya tuwaambie wabunge wetu waziwasilishe bungeni
Kwa upande wa wabunge nimesha elezea kuwa wao sio wanachama wa PSSSF/NSSF na hawalipwi na hiyo mifuko
Hizo sheria ni takataka kabisa, hazina utu wala ubinadamu, tulizikataa toka mwanzo ila yule mzee Magufuli alilazimisha ili pesa yetu akajengee madarajaMimi sipo kwenye mfuko wowote wala sio mwajiriwa wa serikali, nimeeleza kama Mtaalamu wa hifadhi ya jamii, kama tunaona sheria zilizopo sasa ni mbaya tuwaambie wabunge wetu waziwasilishe bungeni
Asante kwa ufafanuziYes, utalipwa tena fao la kukosa ajira.. hata hiyo hari ikijitokeza mara 10 utaratibu wa kulipwa ni huohuo.
Je mafao Huwa yanakatwa Kodi ya Income Tax au Kodi ya zuio?Ndani ya miaka kumi kabla ya kustaafu tunatafuta miaka mitatu (miezi 36) iliyo kuwa na mishahara mikubwa kuzidi mingine hiyo tuna ijumulisha alafu tunagawa kwa 3.. ndio tunapata jibu la hapo...
Kuhusu mfano, labda nije na uzi mwingine.
Aiseee!Awful!Ni uelewa tu.