Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
Sijawahi kulimaUliangukia pua wakati wa kuzalisha au wakati wakutafuta masoko?
😂😂😂 Wakulima wa online na kwenye makaratasi!Wengi humu ni waongeaji tu si wakulima ndugu
Wakija unitag nami nitiwe moyo!Jamani hamna Mwenye ushuhuda mzuri atutie moyo
manengelo njoo huku mpenzi utoe ushuhuda ulivyotusua kwenye kilimo 🏃♀️
Naunga mkono hoja huo ndio msimamo niliobaki nao mpaka sasa.Mwaka 2014/majani4ya chinese tulikua tunauza 200shambani yame mazuri kbs ..so ukiweka tuta la box ukata miche km 30/ulikua una uhakika wa kupata hela nzur sn kwa kila siku unayochuma..mambo yakaja haribika 2015 hasa hasa 2016..zile mboga zilizokua zinatoka morogoro zikakata kabisa...! Wamama walikia wanapakza abood saa11(nikiwemo)..lakini ss hv ukilima chinese tegemea kula ww na wanao na majirani...kuanzia hapa mdaula ni mboga mboga tu had hko mbagala😎!
Tikiti ndo usiseme...
Mchicha pandia kuku zako watage vzr
Mahindi panda ya kula tu (labda kwaajili wamefungua mipaka)!
Kitunguu tunza utunzavyo hakijapanda ng'o!
Mkuu nahitaji uzoefu wa Morogoro, PM me if u dont mindMwaka 2014/majani4ya chinese tulikua tunauza 200shambani yame mazuri kbs ..so ukiweka tuta la box ukata miche km 30/ulikua una uhakika wa kupata hela nzur sn kwa kila siku unayochuma..mambo yakaja haribika 2015 hasa hasa 2016..zile mboga zilizokua zinatoka morogoro zikakata kabisa...! Wamama walikia wanapakza abood saa11(nikiwemo)..lakini ss hv ukilima chinese tegemea kula ww na wanao na majirani...kuanzia hapa mdaula ni mboga mboga tu had hko mbagala😎!
Tikiti ndo usiseme...
Mchicha pandia kuku zako watage vzr
Mahindi panda ya kula tu (labda kwaajili wamefungua mipaka)!
Kitunguu tunza utunzavyo hakijapanda ng'o!