MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
Hahaaah mkuu....commission inaongezeka jinsi ambavyo miamala inaongezeka...kama ni sehemu iliyochangamka usijiulize mara mbili fanya hiyo biashara...kama utapata chumba kikubwa unaweza ongeza na biashara nyingine yoyote....kwa nje weka friji kubwa uwe unauza vinywaji kama eneo limechangamka sana pembeni unatengeneza kieneo kidogo unaweka gesi uwe unauza...utapiga hela sana
Hahaha mkuuu unataka uje uwekeze kesho nn.. Uzalendo ni kupeana deal naona hii Deal itakua yangu.... Naomba nijue calculation mkuu